Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

Subhanallah 🤔
 
Joannah iko hivi, Angel alikuwa na mwanaume kabla ya kutoka kimuziki. Alipotoka kimuziki akavishwa Pete na huyo aliyempeleka US akaachana na yule wa kwanza. Kufika US kaolewa kabisa na mtu mwingine, na picha zikasambaa mitandaoni zikatufikia wambea. Huyu ni wa tatu. Hivi Sasa kaachana na aliyefunga naye ndoa kachukuliwa na wa mume wa 4. Dada ana hatari yule!

N.B. Kumbuka ndoa ziko za aina tatu:- za kimila, za kidini, na za kiserikali. Ukiishi na mwanaume kwa makubaliano ya pande 2 za familia hiyo ni ndoa.
 
Upendo Nkone ama?
 
Oya mkuu kwanza m n mwanaume ila ukweli n kwamba saiz wanaume wanatumia kanuni ya ukichwa vibaya,Yan wanatumia kutawala na sio kuongoza
hakuna mwanaume anachukia mfumo dume, we ni demu tu. kavalishwe dera huko.
 
Kosa kubwa la mzee (mumewe) liko hapa kwenye kumuingiza kwenye mzuziki.
wala haikuwa kosa, muziki uliwasaidia wote kusomesha watoto, wana watoto wakubwa wa vyuo kabisa, makazi fresh. sometimes unatakiwa kufanya kitu kwa faida ya watoto ili hata mwanamke akikuacha basi watoto wako wawe wamefaidi.
 
Usijifanye wawafahamu watu zaidi ya wao wanavyojifahamu. Mtu anawezaje kujifanya anafahamu story za watu nane? Wewe huna maisha zaidi ya kuchunguza maisha ya wenzako?
 
Unless mume anataka kukua ndio mwanamke avunje ndoa lakini hakuna sababu nyingine ya msingi zaidi ya hiyo.

Sawa na mwanaume eti mke kugegedwa sio sababu ya msingi kuvunja ndoa. Kama mke anataka kukuua hapo ndio vunja ndoa.

Wee umekubali for better or worse till death do us part. Alafu mke kagegedwa nje huko tayari unataka kumuacha sii utoto huo.

Tatizo siku hizi hamna wanaume au wanawake wanaojua ndoa ni nini
 
Wee umekubali for better or worse till death do us part. Alafu mke kagegedwa nje huko tayari unataka kumuacha sii utoto huo.
Ugoni Dini na Sheria za Nchi zinakataza, mnachafuana kimwili na kiroho aliekubari kuolewa ameshamaliza masarkasi yote km bado basi asiolewe aendelee kuruka sarakasi hadi atakapotaka kutulia
 
🤣🤣🤣Kwa hiyo tukizikamata mwanaume sio issue??unatusingizia bwana!
Sio kukusingizia ndio ukweli wa mambo...mwanamke anataka apate pesa ili aondokane na mwanaume maishani mwake. Mwanaume akipata hela anataka kuhudumia wanawake wengi kadri iwezekanavyo. Thats the difference....men are givers women are selfish.
 
Ugoni Dini na Sheria za Nchi zinakataza, mnachafuana kimwili na kiroho aliekubari kuolewa ameshamaliza masarkasi yote km bado basi asiolewe aendelee kuruka sarakasi hadi atakapotaka kutulia
Kuna nadharia na uhalisia. Sasa wee kaa na mentality ya kwamba mke au mume ni wako weye peke ndio utakuja nyea debe jela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…