wajue YAKUZA Genge Hatari zaidi la kihalifu Japan lililosambaa Duniani Kote

wajue YAKUZA Genge Hatari zaidi la kihalifu Japan lililosambaa Duniani Kote

hivi si umesikia ili uwe huyo jacuzzi ni lazima ufuzu mafunzo ya Ninja.......?.....
na je.. C.T.U......hao wapo Tanzania.....?.....nataka mafunzo tu sitaki uhalifu wao............

Alikuwa moto enzi za ujana...sasa hvi acha tumchezee sharubu huyo babu.
Unataka mafunzo ili uwakomeshe machalii wa Unga ltd?
Utatoka vigimbi ungali binti.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama ilivyo kwa Illuminati, Freemason n.k Yakuza ni moja ya 'secret societies' ambapo missions zao ni tofauti kidogo na hawa magaidi kama Al Qaida.

Tuelezeeni jamani, mwatutia handasi...twataka tujiunge.
 
Mkuu kama ilivyo kwa Illuminati, Freemason n.k Yakuza ni moja ya 'secret societies' ambapo missions zao ni tofauti kidogo na hawa magaidi kama Al Qaida.

YAKUZA sio secret society ila ni Organized Crime kuna tofauti kati yao
 
nataka kujiunga ,,vipi wana ofisi tz au ukanda wa afrika mashariki
 
Al-Qaeda silitaki...nalitaka YAKUZA.
Nikifuzu nakuja mazima kule MMU, manake wanawake mwezi wetu huu.

Hahaha...
C.T.U msaidie shemeji yangu kujiunga na YAKUZA
 
Last edited by a moderator:
Duh dunia c sehem salama. Je kuna members wa haya makundi ambao walishakamatwa? Na kama ndio je kundi huwa lina_react vp?

Tupe mifano ya uhalifu mkubwa walioufanya
 
hivi si umesikia ili uwe huyo jacuzzi ni lazima ufuzu mafunzo ya Ninja.......?.....
na je.. C.T.U......hao wapo Tanzania.....?.....nataka mafunzo tu sitaki uhalifu wao............

Wapo na wamejaa tele...
ila kujiunga sahau tu mkuu kwani mpaka uwe YAKUZA kuna mengi ni lazima uyapitie na process zake ni kama za Mafia

ni rahisi sana kwa mtanzania kuajiriwa CIA kuliko kwa Mtanzania kuwa YAKUZA kama yupo basi tu ni affiliated na yakuza but sio Yakuza
 
YAKUZA are so peacefull ni hightech smuggling group wao kazi yao kubwa ni magendo ya aina zote HATARI YAO KUBWA UKIAMINIWA MZIGO UKATUMIA AKILI ZA KIBONGO BY ANY MEANS YOU'L DISAPEAR BY TOTALY WHENEVER U ARE AROUND THE WORLD
 
Nimeandika kwa mujibu wa nilivyosoma katika moja ya Encyclopedia...

you are damn right....
ukiichukua dhana ya secret society kiujumla hata CIA, UWT inaingia kwenye dhana hii
but kwa neno rahisi
ni kuwa CIA itabaki kuwa ni intelligence agency
Yakuza itabaki kuwa organized crime na
illuminati, skull and bones and Freemasons watabaki kuwa secret society
 
Bahati mbaya hiyo Encyclopedia niliisoma katik form ya pdf na kwa sasa hata jina lake sikumbuki...

Lakini kunyoosha maneno yangu pitia katika hii link hapa chini;

Japanese Secret Societies
 
Na kwa hapa Tz, Maskani ya YAKUZA ni wapi?
Au ndo wale YAKUZA MOBB wa kiswazi?
Dah!
Kweli hilo kundi latisha.
Na ninani anaewalipa vibaraka wote hao?
Au ndo kazi ya kujitolea mkuu C.T.U?

kupitia biashara zao haramu kuna commission ambazo wanalipwa
mfano uki smuggle cocaine ya dolali za kimarekani 10 million kwenye ile chain nzima ya yakuza waliyopitisha mikono yao pale wana % zao

fedha zikitakatishwa kutoka sehemu moja mpaka nyingine kama $ 50 millions Yakuza wote waliofanikisha inshu ile wana % zao

mpaka mzigo ufike kwa bosi jua kuna watu wana commission zao
na Yakuza wengi sio tu hawana makazi

ila kuna
watu wana ma restaurant yao
kuna wafanyakazi wa bank
kuna wanasiasa
polisi

so vyanzo vyao ni vingi ambavyo vinawapa uwezo wa kutengeneza pesa pia
 
Back
Top Bottom