wajue YAKUZA Genge Hatari zaidi la kihalifu Japan lililosambaa Duniani Kote

wajue YAKUZA Genge Hatari zaidi la kihalifu Japan lililosambaa Duniani Kote

Mwaka Huu mwezi wa 5 nilikuwepo Japan nilifikia Mji wa Aichi...kn siku palitokea mtafaruku bs kwa mara yangu ya kwanza ndipo nilipoona mtu akiuliwa mbele ya macho yangu...hawa jamaa YAKUZA walikuja wapatao 20 na mapanga na kufika hd sehemu ya tukio na kumchukua jamaa na kumuweka barabarani na kumkata kichwa hapo hapo na wanafanya hv askar wapo pemben wanatizama na walipomaliza waliwaambia police wachukue mzoga kwa kuwa umechafua barabara........ni hatar cnaaa Japan.....nzimaaaa ukimshambulia Yakuza bs ukae ukijua hauna maisha marefuuu
 
Mkuu ina maana hata Marekani ina wagwaya hawa jamaa...?

Nilijua hawawezi kutia pua nchini Marekani kumbe wamejikita kule Hawaii.....!

Vipi kuhusu Ugaidi, hawa hawajwahi kusingiziwa ugaidi kama Al Qaida.....?
A key member of Japan's powerful Sumiyoshi-kai underworld group was sentenced to hang for a series of shootings that ended with five people dead, including three members of the public.

The shootings were part of an internal power struggle within the yakuza group, the second-largest in Japan with about 10,000 members.
Osamu Yano's actions were described by a Tokyo District Court judge as 'indiscriminate terrorism'.
In February 2002, Yano, then 54, accompanied two gunmen to a Tokyo hospital, where one of them smashed the window of the intensive-care unit before his accomplice shot Takashi Ishizuka. Ishizuka had been shot in the arm and stomach two days earlier and was under police guard when he was murdered. Authorities were embarrassed that two officers were outside his room when he was shot.
Yano was also found guilty of ordering subordinates to open fire in a bar in the city of Maebashi, north of Tokyo, in January 2003 in an attempt to assassinate Masato Kohinata, a senior member of the affiliated Yano Mutsumi-kai gang. Another gangster was severely wounded in the attack - dubbed the 'Maebashi bar massacre' by the tabloid press - while three other patrons died.
The two attacks were apparently in retaliation for the shooting in August 2001 in Tokyo of three Sumiyoshi-kai gangsters at a funeral at Yotsugi Crematorium. Two of the men died of their wounds after two gunmen from the Omaeda Ikka splinter group, posing as mourners, opened fire indiscriminately at the 700 people present.
Kazumi Yoshikawa was subsequently sentenced to life in prison and Takashi Endo was given a 20-year term, although questions were again raised about how the gunmen managed to gain access to the funeral. Police had surrounded the crematorium in anticipation of trouble and it was not clear how the weapons were smuggled inside.
 
Mwaka Huu mwezi wa 5 nilikuwepo Japan nilifikia Mji wa Aichi...kn siku palitokea mtafaruku bs kwa mara yangu ya kwanza ndipo nilipoona mtu akiuliwa mbele ya macho yangu...hawa jamaa YAKUZA walikuja wapatao 20 na mapanga na kufika hd sehemu ya tukio na kumchukua jamaa na kumuweka barabarani na kumkata kichwa hapo hapo na wanafanya hv askar wapo pemben wanatizama na walipomaliza waliwaambia police wachukue mzoga kwa kuwa umechafua barabara........ni hatar cnaaa Japan.....nzimaaaa ukimshambulia Yakuza bs ukae ukijua hauna maisha marefuuu

Duh,inatisha sana! Hivi hawa jamaa hawajihusishi na biashara ya magari used kweli? Maana nilikuwa na mpango wa kuagizia ka-starlet moja kwa moja Japan lkn ninagwaya maana unaweza kudhulumiwa na ukileta ubishi unachinjwa.
 
yaani wako duniani kote?!. mi nawajua alshababu tu, na uamsho.
anyway mi mtu akija na masha ati na panga, mi nampiga na bastola. namchapa risasi moja tu. hawa yakuza nadhani nimewahi kuuna kwenye muvie flaniflani za kimapigano. good thread anyway
 
Back
Top Bottom