wajue YAKUZA Genge Hatari zaidi la kihalifu Japan lililosambaa Duniani Kote

Nakwambia ni zamani hizo,soma hapa
a, the yakuza in recent years have been forced to lower their standards when recruiting new members, and as a result some feel that they are neither as organized nor as powerful as they once were.- In the past, choice recruits came from the traditional bakuto (gambler) and tekiya (peddler) classes, but today a rebel spirit and a willingness to commit crime for an oyabun is all that is necessary to join the yakuza ranks.- Most new members currently come from the bosozuku (speed tribes), street punks known for their love of motorcycles.

This lowering of standards has led to the Japanese National Police Agency adopting the term boryokudan ({the violent ones}) for the yakuza, lumping them in with other criminal groups.- The yakuza, who treasure their ancestral ties to the old samurai, reject the term and consider it an insult.
 
Dude siku jichange nenda Japan.... ndio utajua naongelea nini
ninakukubalia kuwa Yakuza ya sasa hivi sio ile ya zamani namaanisha ya miaka
1920's -1940's ilitetereka sana kipindi cha ww2 lakini Yakuza ya sasa hivi sio ya kuibeza hata siku moja trust me on this

hawa majamaa ni hatari kuliko unavyodhania

hilo moja pili

ni kuwa hizo information zimeandikwa kipolisi polisi siku zote vyombo vya usalama duniani huandika kuwa wamedhibiti vikundi fulani na kutoa propaganda za uongo

ili tu kuzuia panic na kuwaaminisha watu kuwa wako salama

mfano kova anakwambia jeshi la polisi liko makini

swali ni je jeshi la polisi liko makini?

marekani wanakwambia wamewadhibiti AL Qaeda ila swali ni kweli unaamini al qaeda wamedhibitiwa?

Akili kumkichwa
 
Umeuliza swali zuri. Siyo kila Yakuza ni NINJA na siyo kila Ninja ni YAKUZA.

Wote walikuwa watu masikini wa vijijini. Tofauti yao unaweza kusema kuwa Ninja walikuwa ni kama SPY au Hitman. Walikuwa na kazi mbili ambazo moja ilikuwa hiyo anaonyesha na nyingine ni ile ya Ujasusi, Muuwaji, Gaidi nk.

Yakuza ni watoto wa kihuni na unaweza kusema MAFIA ambao wanajulikana kutokana na Tatoo zao. Hawa wanatajirika na mwisho wanaanza kuishi maisha ya HIGH LIFE bila kujificha tena. Wanajulikana na ni Wababe sana. Uchumi wa nchi kwa hali moja au nyingine hutegemea sana hawa jamaa. USA wao wamehalalisha U-Mafia wao na wakauita CIA.

Kiboko yao wote hao ilikuwa SAMURAI ambaye alikuwa ni kama POLISI wa Mfalme wa Japan. Hawa jamaa walikuwa wabaya si kawaida na hao akina NINJA sijui YAKUZA kwa Samurai ni cha mtoto. Walikuwa wamekula shule ya kutosha na wana vifaa vingi vya kushambulia na kujilinda. Hivyo basi kama wataka kujilinda, mtafute SAMURAI, haki ya nani hata FFU wa Arusha hawakuvamii, labda waite JWTZ.
hivi si umesikia ili uwe huyo jacuzzi ni lazima ufuzu mafunzo ya Ninja.......?.....
na je.. C.T.U......hao wapo Tanzania.....?.....nataka mafunzo tu sitaki uhalifu wao............
 
Nilikaa shinjuku 4months,nakwambia hao jamja wanamsimu wao,wanatisha. lakn mpaka uwawekee kauzibe katika matakwa yao. Hawa jamaa ni genge la uhalifu,wanamateso ya kufa mtu! acha bwana! mmenikumbusha babu Tamai na live story zake juu ya hawa Yakuza.
 
Umeuliza swali zuri. Siyo kila Yakuza ni NINJA na siyo kila Ninja ni YAKUZA.

Wote walikuwa watu masikini wa vijijini. Tofauti yao unaweza kusema kuwa Ninja walikuwa ni kama SPY au Hitman. Walikuwa na kazi mbili ambazo moja ilikuwa hiyo anaonyesha na nyingine ni ile ya Ujasusi, Muuwaji, Gaidi nk.

Yakuza ni watoto wa kihuni na unaweza kusema MAFIA ambao wanajulikana kutokana na Tatoo zao. Hawa wanatajirika na mwisho wanaanza kuishi maisha ya HIGH LIFE bila kujificha tena. Wanajulikana na ni Wababe sana. Uchumi wa nchi kwa hali moja au nyingine hutegemea sana hawa jamaa. USA wao wamehalalisha U-Mafia wao na wakauita CIA.

Kiboko yao wote hao ilikuwa SAMURAI ambaye alikuwa ni kama POLISI wa Mfalme wa Japan. Hawa jamaa walikuwa wabaya si kawaida na hao akina NINJA sijui YAKUZA kwa Samurai ni cha mtoto. Walikuwa wamekula shule ya kutosha na wana vifaa vingi vya kushambulia na kujilinda. Hivyo basi kama wataka kujilinda, mtafute SAMURAI, haki ya nani hata FFU wa Arusha hawakuvamii, labda waite JWTZ.

umenichanganya sehemu moja mkuu

how is possible kwa Ninja kuwa jasusi and at the same time Gaidi?
 
Nilikaa shinjuku 4months,nakwambia hao jamja wanamsimu wao,wanatisha. lakn mpaka uwawekee kauzibe katika matakwa yao. Hawa jamaa ni genge la uhalifu,wanamateso ya kufa mtu! acha bwana! mmenikumbusha babu Tamai na live story zake juu ya hawa Yakuza.

Sinjuku Acha Kabisa
usiniambie ulilkuwa hubanduki
uogashinihonishi kupata shushi kidogo..
 
Ohh, nilipata shida hata mimi kuelewa wapi huelewi. Ninja walikuwa watu masikini, wasiosoma na mara nyingi watu wa vijijini. Hivyo walikuwa wanafanya kazi za kawaida za kijijini kama Kilimo, ufugaji, uvuvi, ufundi wa kutengeneza vitu mbalimbali nk. Kama kazi za nyongeza au ya kipato kikubwa, walikuwa wanakuwa NINJA. NINJA walifanya vitu tofauti kuanzia Ugaidi, Ujasusi, Uuwaji nk kama kazi ya pili ambayo kikawaida waliificha.
umenichanganya sehemu moja mkuu

how is possible kwa Ninja kuwa jasusi and at the same time Gaidi?
 
Huku sisi tunasumbuliwa na MS 13.

FBI — MS-13 Threat Assessment

MS13 Gang | Altered DimensionsAltered Dimensions

MS-13-Tattoo-Designs-Pictures-2.jpg
ms13tol1fgh.jpg
MS-13.jpg
MS-13-Tattoo-Designs-29.jpg
 
naomba kuulizahayo ni magorofa ama magari?? hayo yaliyosimama marefu yenye picha.
jamani ushamba mzigo wa kuni msinizodoe.
Ni ghorofa zilizojengwa kwa mfumo maalumu na zina springs kwenye base kwa ajili ya tetemeko la ardhi, zinaweza kuswing chini na juu wakati wa tetemeko na zisianguke wala kubomoka.
 
C.T.U Mbona wanaonekana "soft touch" tu? Embu muone huyo bonge aliyevaa miwani.
 
Back
Top Bottom