Wajukuu wa Rais Samia watembelea daraja jipya la Salenda na kupiga picha

Kosa kubwa kuwaweka watoto wadogo kwenye public picture literally....hii ni hatari ,hivi wanajua scrutiny anayokutana nayo bibi ,watairithi,,at least wawe wakubwa kidogo,,wafanyiwe haya mambo kwa ridhaa yao wenyewe
 
Naomba kufahamishwa... Kile kikokotoo kilichosimamishwa zama zile za jpm, kitaanza kutumika tena lini? Ama kimefutwa kimya kimya? Na je ukienda nssf wakati huu unapata mafao yako yote? Msaada tafadhali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…