Wajukuu wa Rais Samia watembelea daraja jipya la Salenda na kupiga picha

Wajukuu wa Rais Samia watembelea daraja jipya la Salenda na kupiga picha

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Tunataka uzalendo kama huu.

Sio kwenda kupiga picha kwenye kuta za majengo huko Paris na New York.

Screenshot_20220131-103856_YouTube.jpg
 
Kosa kubwa kuwaweka watoto wadogo kwenye public picture literally....hii ni hatari ,hivi wanajua scrutiny anayokutana nayo bibi ,watairithi,,at least wawe wakubwa kidogo,,wafanyiwe haya mambo kwa ridhaa yao wenyewe
 
Naomba kufahamishwa... Kile kikokotoo kilichosimamishwa zama zile za jpm, kitaanza kutumika tena lini? Ama kimefutwa kimya kimya? Na je ukienda nssf wakati huu unapata mafao yako yote? Msaada tafadhali..
 
Back
Top Bottom