Wajumbe Bodi ya Simba upande wa Wanachama wagoma kujiuzulu

Wajumbe Bodi ya Simba upande wa Wanachama wagoma kujiuzulu

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba upande wa Wanachama CPA Issa Masoud amefunguka akidai Mwekezaji wa Simba Mohamed Dewji Mo amegeuza pesa za msaada anazotoa ndio Bilioni 20 anazotakiwa kuweka ndani ya Simba.

#KitengeSports
Screenshot_20240609-072230.jpg
 
Hao wajumbe wa bodi ni wapuuzi sana kazi kupiga kelele watoe pesa mifukoni mwao.
Wajumbe wa bodi ndio wenye timu na asset za Simba.

Mnawachukulia powa sasa ndio mtajuwa bodi maana yake ni nini na huwezi kuwaondowa.

Kama kuna mtu anadhani bodi ni kitu cha mchezo subilini sasa muone na wao ndio wenye nguvu 51%
 
ila pesa hawana 🤔🤔? hiyo team wanaendeshaje??

mashabiki pia awana wa kutosha.
 
Hao viongozi ni wajinga ,

Kwa hiyo kama wasingeambiwa kujiuzulu hizo taarifa za danadana za Mo wasinge toa sio?

Viongozi wamesindwa kuongoza, wanatafuta hurumaa ya mashabiki.

Miaka hiyo mitatu wamefanya Jambo gani la msingi?
 
Ile Video inayotembea inamuonyesha CPA Issa akisema kuhusu uwekezaji wa MO.
Inatupa picha kua Mo hana Chake pale Simba hata zile Propaganda za kusema kua akitaka kuja Mwekezaji mwingine ni lazima mwekezaji huyo amlipe hizo hela MO ile ni Tishia Tishia tu ila ukweli ni kua Unalipa vipi kitu ulipewa Gifts au Hisani.

Kwahio ili Mo adai pale inatakiwa aweke hizo 20B.

MO kapigwa na watoto wa Sadalama😂

#UANENI😂
 
Hakuna walilofanya wapishe waingie wengine
 
Ile Video inayotembea inamuonyesha CPA Issa akisema kuhusu uwekezaji wa MO.
Inatupa picha kua Mo hana Chake pale Simba hata zile Propaganda za kusema kua akitaka kuja Mwekezaji mwingine ni lazima mwekezaji huyo amlipe hizo hela MO ile ni Tishia Tishia tu ila ukweli ni kua Unalipa vipi kitu ulipewa Gifts au Hisani.

Kwahio ili Mo adai pale inatakiwa aweke hizo 20B.

MO kapigwa na watoto wa Sadalama😂

#UANENI😂
Hii nchi kila mtu tapel , kwanzia Rais hadi mwananzengo wa kawaida duuh🤣🤣🤣🤣
 
Kataja mchicha na kandambili na boxa bodaboda. Vipi pesa za usajili?
 
Hii timu na viongozi wake walirogwa ndio maana MTU Kama ephen_ alihama mapema akaenda Kwa vyuraaa
 
Ilitakiwa kabla ya hao wajumbe wa bodi kujiuzuru kingefanyika kikao cha bodi, wafanye tathmini ya kilichofanyika kwenye klabu kwa mwaka unaoisha.

Kwa kilichotokea kujiuzuru bila bodi kukaa ni uhuni, MO anaendesha timu kiuni na inawezekana ameisusa timu yetu.

AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO!
 
Back
Top Bottom