Naumwa nn?? Hata typing yako tuu hii wewe ni Simba...hata damu yako tuu ni nyekundu...Unaumwa! Sijawahi kushabikia Simba na sitokuja kamweeeee
Unaumwa degedegeNaumwa nn?? Hata typing yako tuu hii wewe ni Simba...hata damu yako tuu ni nyekundu...
Hapo kwa Rais mi nakuacha peke ako mi simo tulia wakuone๐๐Hii nchi kila mtu tapel , kwanzia Rais hadi mwananzengo wa kawaida duuh๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Tulia wakuone watu wa BODI๐Mo ni mmiliki halali wa timu ya Simba! Unaposema hana chake! Humtendei haki.
Anaandaa makala yake huko๐Kigwangalla amasemaje?
Waje potelea pote hakuna namna ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHapo kwa Rais mi nakuacha peke ako mi simo tulia wakuone๐๐
Mo hawez kuagiza hao wajumbe wajiuzulu,Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC.
๐ช๐ฎ๐ท๐๐บ๐ฏ๐ฒ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐ด๐ผ๐บ๐ฎ ๐ธ๐๐ท๐ถ๐๐๐๐น๐ :
Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema kuwa HAWAJIUZU. Hawajiuzulu kwa sababu hawajafanya kosa lolote, wao wamejitoa sana kwa klabu sometimes bila sapoti ya upande wa muwekezaji. Wamesema kujiuzulu ni UDHAIFU, na wao si DHAIFU.
Wamesema hata hizo kamati za usajili zinazotajwa kuwa zimebadilishwa ni UONGO, labda zimebadilishwa mitandaoni, kwa sababu kamati zote hupitishwa na bodi na wao wako kwenye bodi na hawajapitisha jambo kama hilo. Wamekaa kimya sana sasa wameamua kusema kinachoendelea.
๐๐๐ต๐๐๐ ๐ ๐ผ ๐๐ฒ๐๐ท๐ถ
Kwa niaba ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi Simba SC upande wa wanachama, Issa Massoud amesema kuwa.
Mohamed Dewji amegeuza fedha ambazo amekuwa akitoa Kwa klabu kama msaada kuwa deni au zimegeuzwe kuwa mtaji maana yake Simba haimdai BILLION 20 tena.
"Fedha zote ambazo Mo Dewji alikuwa anazitoa yaani za kununua mchicha, kununua kandambili boxer za wachezaji zozote zile ambazo ametoa kwenye Simba Sports Club amesema anazidai, na ameelekeza zibadilishwe ndio ziwe mtaji wake ambao anatakiwa autoe Simba Sports Club."
"Kama tunakopeswa hizo hela kwani lazima tukope kwa MO? Taasisi za fedha si zipo nyingi tunaweza tukakopa? Kwanza kama ni mkopo haujafuata taratibu alikopa nani na kwanini walikopa, na mkopo huo unawekwa kwa ajili ya aseti ipi, hapa ukiondoa udhamini maana ana udhamini."
๐๐๐ต๐๐๐ ๐๐๐ฎ๐ท๐ถ๐น๐ถ
"Kamati yoyote ya Simba Sports Club inaundwa na Bodi, kwa hivyo basi kamati zote zilizoundwa nje ya bodi sisi hizo kamati hatuzitambui, na hata usajili utakaofanyika nje ya bodi sisi huo hatuutambui kwasababu tutakuwa tunakiuka utaratibu wa Simba SC." - CPA Issa Masoud Mjumbe wa Bodi Simba SC.
"Sisi wenyewe tunasikia tu mtandaoni mara kamati ya usajili imeteuliwa, sasa sisi hizo kamati hatuzitambui kama bodi."
ยฉ๏ธ CPA. Issa Masoud.
Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi Simba.
WAACHENI WAFUUU WAZIKE WAFU WAOOOOYaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC.

Ulivyoanza kuikosoa nikafikiri Kuna kitu unaongezea, unawezaje kununua hisa za Mali yako, ungetafuta mtu wa soko la mitaji akakuelekeza vizuri au hata mwanafunzi wa finance Ifm mwaka wa kwanza .Elimu ukiwa nayo kichwani utawaburuza wajinga wengi,maana wajinga ndio wanaoongoza kwa makelele. Mtu kasoma FINANCE & International Business tena kasomea USA,wewe mwingine na elimu yako ya kukariri unapiga kelele..Ngozi nyeusi shida sana,mkiulizwa hizo 51% za nyie wanachama mmeanza kununua hisa zake utajibiwa ngonjera tu. Hakuna cha bure wala msaada kwenye Dunia ya Kibepari hii
Mo pale kwenye jezi analipaga bei gani? Au ndiyo anajilipa 20b zake.Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC.