Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Imetoka hiyo,wale wa Samia hagombei tena wako wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mgombea wa CCM 2025 ni Samia SH.

Haters wake wote chalii

Wapiga ramli chaliii

Waliopanga Kumhujumu chaliii

Waliojisemesha kwamba hawezi chaliii

Wachawi chaliii

Yaani kiufupi Mama ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Hongera sana Wajumbe Kwa Kasi nzuri.

View: https://x.com/ccm_tanzania/status/1880913934598725650?t=ZL4OkoJ2_CoVRN8NWUzmxw&s=19
View: https://x.com/seif_tanzania/status/1880920435539505444?t=WCIzg8tudXNkEJc8RJ6Avw&s=19
 
Japo mimi si shabiki wa CCM, ni kichaa peke yake ambaye angeweza kudhani kuwa Samia hagombei atakatwa sijui hata walikuwa wanawaza nini.
Na ni kichaa peke yake anayeweza kuwaza kuwa uchaguzi CCM kwa sasa inaweza kushindwa kwa kura za uchaguzi. Huenda ni wishful thinking.
Haijalishi hupendi kitu kiasi gani, ila inabidi uishi katika uhalisia wa mambo.
Na wewe mwanzisha thread inabidi kwa upande wa wishful thinking yako ya uchaguzi wa CHADEMA uishi katika uhalisia kuwa mbowe anadondoka asubuhi na mapema.
 
Kuna anachoelewa hapo anapoangalia πŸ˜•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…