Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM Mkoa wa Ruvuma wakubaliana Rais Magufuli aendelee kuongoza miaka 20 mbele

Katu atotoka madarakani ni hadi siku maswahiba zake watakapotoka madarakani ni mtu muhimu kukamilisha the Bahima empire
 
Sasa Rais akiondoka wewe utafanya nini zaidi ya kubweka mtandaoni
Na kuna kauli anairudia rudia siku hizi ya kwamba "nikiondoka haya yatafanyika?" ni kama muvi inatengenzwa hivi!- Nafikri hata yeye anataka kuendelea ili afanye mambo yake
 
Kuna raisi mstaafu mahali alisema angeiona birthday yake inayofuata. Hakuchukua raundi mungu akawa na kazi nae akamchukua.
Naona ulifurahi sana lkn mawazo yake Bado yanaitesa CHADEMA na Mabeberu wenu
 
Jamani kwani katiba inasemaje ? Ila naona katiba itabadilishwa 202......Ok kifo pekee ndo kitamtenganisha Magufuli na Urais. Wapinzani wenyewe waoga kweli. Ukuta tu waliingia mitini.
 
Mimi nasapoti hii idea ya miaka 20 zaidi kama mtu anafanya maendeleo huyo mwingine wa kazi gani ingekua kuna kelele za ufisadi sawa lakini hakuna malalamiko yoyote so aendelee tu
 
Umeongea point sana Mkuu
Si rahisi kumpata Magufuli mpya bora aendelee tu
Mimi nasapoti hii idea ya miaka 20 zaidi kama mtu anafanya maendeleo huyo mwingine wa kazi gani ingekua kuna kelele za ufisadi sawa lakini hakuna malalamiko yoyote so aendelee tu
 
Viongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo suala, kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote mstaafu aliyewahi kukemea hiyo michezo. Kukaa kwao kimya unaleta shaka kama wanaunga mkono au la
Pius Msekwa aliwahi kukemea hilo so sio kweli kwamba wastaafu wote hawajasema chochote, wapo waliodiriki. Labda tu swali, hivi Msekwa anae mtoto yeyote serikalini? Mwinyi akikaa kimya, inaeleweka
 
Mnyonge mnyongeni lakini aki yake mpeni japokua magufuli ana mapungufu ya kua short tempered lakini ni the best president we ever had. Ukali wake ndio chachu ya maendeleo mtu akifikiria kupiga milioni mia anaogopa anapiga 20 hivi isiyoumiza
 
Hadi wewe mkuu??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Fafanua zaidi kwanini unaunga mkono hoja.
Ufafanuzi niliutoa tangu ile ile 2015 baada tuu ya jembe hili kukamata usukani.
P
 
Jamani kwani katiba inasemaje ? Ila naona katiba itabadilishwa 202......Ok kifo pekee ndo kitamtenganisha Magufuli na Urais. Wapinzani wenyewe waoga kweli. Ukuta tu waliingia mitini.
Nakazia tu,
hamna haja ya kumuwekea (ukomo.......labda kifo) Ikiwezekana na chenyewe tumuombeee kwa muumba pia amuepushe nacho
 
Hitler kumbe alikuwa akubaliki kivile kwenye jamii sema alikuwa na support ya walalahoi ya kutosha kiasi kwamba political elites kutaka kumtumia kwa manufaa yao.

Hitler anatumiwa sana as a case study kwa sababu mfumo wa dictatorship unaotumiwa kupoka madaraka mpaka leo yeye ndio muasisi wake na watu wanajiuliza ilikuwaje wakamwangalia tu wakati walikuwa na uwezo wa kumzuia.

Kuna 4 or 5 key players kwenye kupanda kwa hitler; kati yao wawili walikuwa vigogo wa siasa ambao walimtumia kumaliza wapinzani wao au kulipazana visasi. Hawa walimuona Hitler sio mainstream wanaweza mzima anytime wakishamtumia. Mwishowe kati yao mmoja aliishia kuuliwa na Hitler (Von Schleicher) na mwingine kutupwa jela (Von Papen) na wote hao walishashika nafasi ya chancellor za ujerumani kibongo ndio kama presidents tu.

Na kuna watu watatu dunia inasema wangesikilizwa mapema Hitler alikuwa azibitiwe kabla ya kufikia hatua za kupora madaraka: kuna “Hans Achim Litten” huyu alikuwa selfemployed lawyer ambae alikuwa anaburuzana mahakamani na NAZI wakati bado changa akionya wakubwa serikarini hili ni zimwi linalofugwa baadae kutakuwa hakuna wa kulizuia.

‘Joseph Hartinger’ akiwa kama deputy state prosecutor huyu alikuwa wa kwanza kumshtukia Himler (side kick wa Hitler) wakati bado mkuu wa polisi ya kuwa kesi zake na madai ya vifo kwenye camp hazina ushahidi tosha halafu mbona ni jews tu ndio anaoshitaki na wanaouwawa, akapuuzwa by the time anafika juu anakuta kina Himler washa muwahi kwa boss wake anazuiwa kupeleleza tena.

Na mwisho Edgar Jung huyu warning yake imekuja late sana Hitler keshakuwa chanchellor lakini bado watu waliotakiwa ku act dint bother.

Nikiangalia mazingira yetu mambo yanafanana sana na jinsi Hitler alivyoweza twaa madaraka, I am all for Magufuli kwa miaka yake sita iliyobaki; hila it’s time people acted to constrain his action and motives huyu mtu hana mpango wa kutoka baada ya 2025.
 
Leo kwenye kumbukumbu ya miaka 20 anayotaka kukaa nini kimeendela nauliza tuu mimi hapa
 
Naunga mkono hoja.
P
Ni moja kati ya utaratibu mbovu sana mkuu!
Huyu anaweza kuwa mzuri na mkaamua iwe hivyo na siku akiondoka au kufa akaingia mwingine hata akiwa mbovu vipi hawezi kutoka na hapo ndipo yatazaliwa makundi ya uasi na nchi haitakaa itawalike!! Wanaosema hivi leo keshokutwa ndo watoto wao watakuwa wahanga wa makundi ya uasi yatakapoibuka!!
Muwe mnawaza miaka 1000 mbele maana hamtakuepo lakin TANZANIA itakuepo daima.
 

Mkuu ni angalizo zuri sana, ila haliaply kwenye jamii yetu, kwa kuwa magu anajua kusoma alama za nyakati, na hawezi hata sekund 1 kuadd in his presidential, anajua madhara makubwa yatakayo tokea, his work haiewez ikaja kutranform 0, na yy anataka kuacha alama ya uadilufu kwake na kwajamii yake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…