Kwa nchi hii ilivyo, yawezekana mpaka ikafikia yeye mwenyewe atakaposema basi. Upepo unavyoelekeana jinsi anavyojiwekea mizizi lazima tukubali yale anayoyataka. Hakuna hata mtu anayeweza kumuonya wala kumsema kila mtu yupo kimyaa anasikiliza vibe linavyorindimaJPM atapiga 25
Huo ukomo sio wa CCM ni Kwa mujibu wa katiba ya nchi.Nyambafu zaoLeo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUINGIZA kwa miaka 20 zaidi.
Kama mawazo hayo yataungwa mkono na mikoa mingine ina maana inawezekana Magufuri ndiye Rais atakaye kaa madarakani miaka mingi ikulu kuliko hata Nyerere
Viongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo suala, kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote mstaafu aliyewahi kukemea hiyo michezo. Kukaa kwao kimya unaleta shaka kama wanaunga mkono au la
Tujadili kwa pamoja haya ma
Akhsante kwa ufafanuziKusema ukweli sikumbuki hata kirefu chake,unajua tena kitu kikiishia hewani.Ila ilikuwa ni movement ya kupinga mabavu ya rais jinsi alivyokuwa akiendesha nchi.Walizoea operation Sangala,sijui movement of the people.Safari hii wakaogopa.Ndo kabisa sasa wapo kimya hawana mabavu tena ya kutoa dukuduku zao.
PumbavuNaunga mkono hoja.
P
Thanks, ubarikiwe sana.Pumbavu
Wala haujakosea,kweli mimi muoga si unaona hata hapa natumia fake name.Inabidi tuushinde uoaga.Tuwe kama kina MALCOM X,Nelson Mandela,Luther King ,Rosa Parks n.kUpinzani ni nani? Sema Watanzania wote waoga hadi mi ccm
Sitaki kubarikiwa na watu wanàfiki wanaoshabikia uvunjifu wa katiba Kwa masilahi binafs.Thanks, ubarikiwe sana.
P
Upinzani ni nani? Sema Watanzania wote waoga hadi mi ccm
Ailinde katiba aliyoapa kuilinda. Hayo yote in uchochezi tu. CCM wanachochea hayo kwa kuwa wanajua kuwa anao uwezo was kuzuia upinzani. Hivyp wanatafuta mazingira ya kutamba bila kupingwa.Leo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUINGIZA kwa miaka 20 zaidi.
Kama mawazo hayo yataungwa mkono na mikoa mingine ina maana inawezekana Magufuri ndiye Rais atakaye kaa madarakani miaka mingi ikulu kuliko hata Nyerere
Viongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo suala, kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote mstaafu aliyewahi kukemea hiyo michezo. Kukaa kwao kimya unaleta shaka kama wanaunga mkono au la
Tujadili kwa pamoja haya ma
Baraka zikitolewa zimetoka kwa mtoa baraka na mpokeaji hana mamlaka ya kuzuia kubarikiwa.Sitaki kubarikiwa na watu wanàfiki wanaoshabikia uvunjifu wa katiba Kwa masilahi binafs.
Mie naunga mikono yote miwili aendelee kuwaingizia hata miaka hamsini kwani hayo ni makubaliano yao.ila katiba yetu iheshimiwe daima.Leo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUINGIZA kwa miaka 20 zaidi.
Kama mawazo hayo yataungwa mkono na mikoa mingine ina maana inawezekana Magufuri ndiye Rais atakaye kaa madarakani miaka mingi ikulu kuliko hata Nyerere
Viongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo suala, kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote mstaafu aliyewahi kukemea hiyo michezo. Kukaa kwao kimya unaleta shaka kama wanaunga mkono au la
Tujadili kwa pamoja haya ma
HB au kuna sbb nyingine?Hadi wewe mkuu??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Fafanua zaidi kwanini unaunga mkono hoja.
Wapinzani na wewe ukiwa wapi,wapinzani tuwaache washafanya yao risasi walizopata zinatosha hii sasa zamu ya wananchiJamani kwani katiba inasemaje ? Ila naona katiba itabadilishwa 202......Ok kifo pekee ndo kitamtenganisha Magufuli na Urais. Wapinzani wenyewe waoga kweli. Ukuta tu waliingia mitini.
Huwezi mlinganisha Hitler na Magufuli.Hitler aliikuta Ujerumani uchumi wake umeharibika sana.Ila Kipindi cha Hitler uchumi ulikua sana tena sana.Nakuambia wasingeingia vitani basi ujerumani ingekuwa number moja kichumi duniani.Kosa la Hitler ni ubaguzi kwa jews na kujiona yeye ni Mwamba na akavamia nchi zingine ambazo alitaka ziwe provinces za Ujerumani.
Huyo ni ukabila tu na njaa zakeHadi wewe mkuu??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Fafanua zaidi kwanini unaunga mkono hoja.