Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM Mkoa wa Ruvuma wakubaliana Rais Magufuli aendelee kuongoza miaka 20 mbele

Magufuli ni mtu mwoga sana, hawezi ishi nje ya madaraka!! Muda ni hakimu mzuri!
ulinzi wake unaligharimu taifa pato kubwa sana. Miaka 20 haitoshi, hata 100 waseme, lakini ipo siku historian itasema alikuwepo.
 
Sioni tatizo ikiwa wananchi Wa chini kama Mimi bado wanamwamini mh.nadhani hata miaka 50 yeye atawale tu.pamoja sana mh rais.
Taifa lililosheheni viazi kama wewe haliwezi kuendelea kamwe
 
Hao waliotoa mapendekezo na waliomuacha kiongozi ulieisha muda wake kuendelea kuwa madarakani wapumbavuest ni akina nani?
 
Kuna raisi mstaafu mahali alisema angeiona birthday yake inayofuata. Hakuchukua raundi mungu akawa na kazi nae akamchukua.
ni maombi, bahati mbaya wengi hatujui kuomba, na mara nyingi tunaomba tusicho hitaji.
 
Haya mambo hayayokei kwa bahati mbaya.!
 
Wangoni ni watu wa hovyo sana ndiyo maana Chaka Zulu aliwakimbiza mwishoni mwa karne ya 18 toka huko South Africa
 
Ni wazo zuri sana mbona Chadema wameweza!
HATA MIMI NAWAUNGA MKONO KWA ASILIMIA MIA MBILI VITU VIZURI HUTOKEA MARA CHACHE SANA KWA MUDA MREFU KWA HIYO KATIBA SIYO MSAHAFU IREKEBISHWE DK JOHN APIGE KAZI MPAKA MWISHO WAKE.
 
Mbona kana kwamba wanadhani nchi inaongozwa kwa watu kukaa vijiweni na kukubaliana tu kuwa fulani aongoze hadi Jumatatu ijayo....!!??
Your browser is not able to display this video.
 
Wangoni ni watu wa hovyo sana ndiyo maana Chaka Zulu aliwakimbiza mwishoni mwa karne ya 18 toka huko South Africa
Kwa akili yako mbovu unaamini Ruvuma ni ya wangoni tu mbona na wanyiramba wapo songea ????? Tukana wote basi
 
Naunga mkono hoja.
P
Halalisha uungaji mkono wako juu ya hoja iliyowekwa hapo juu na mdau tafadhari,ingawa ningekuomba uchelee kidogo kuunga mkono hoja.
Mi nimeshtuka ulipoandika unaunga mkono hoja,ikiwa na maana kua aongoze zaidi ya miaka iliyowekwa kikatiba kwasasa.
 
Museveni hakuzunguka sana, alisema wananchi wanataka aendelee akalitumia Bunge kubadili katiba. Sioni kwa nini CCM inazunguka zunguka sana. Kama mmeamua fanyeni.
 
Boss ibesa mau PUMBA.

Na upepo unavuma sana. Mungu atuepushe nao, Ni kweli Mh. Rais ... AMEDHUBUTU .... Kwa Udhubutu wake namkubali na kumpongeza kwa Dhati na Moyo wa Kweli.

Lakini kuongoza Milele au Zaidi ya Katiba na Sheria za Nchi ni kinyume na Katiba ya Nchi.

Ushauri: Kama yeye alivyoandaliwa, nae Aandae Rais ajae, Aandae Viongozi wa kesho, Aweke Misingi na Mifumo IMARA zaidi, azidi kubadilisha Sheria Mbovu, azidi kukamilisha Ahadi na Mipango ya Watangulizi wake.

Yaani akifanya hayo, siku akipumzika ... Ataheshimika kama ... Mandela na Viongozi wengine.


 
Katika awamu ambayo wananchi wanaishi kwa taharuki ni awamu hii. Anyway tuutazamie mwisho wa kagame zaidi
 
Picha ya Magufuli kuikataa katiba ya Waryoba ndio imeanza kujifunua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…