Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM Mkoa wa Ruvuma wakubaliana Rais Magufuli aendelee kuongoza miaka 20 mbele

Akina Bambo nyumbi hii, bombi hii wapuuzi kabisa.
 
Kukubali Magufuli. atawale zaidi ya miaka iliyotajwa kikatiba nikukubali kuondolewa kwa utawala wa sheria Tanzania na kuunga mkono utekaji na uvunjifu wa haki za binadam.
 
Mkuu unaweza ukanisaidia hii hoja uliounga mkono hawa watu walioleta hoja hii ya kutaka Magufuli aongoze miaka 20 ni katiba gani inayomruhusu Magufuli kuongoza miaka hiyo?.
Mkuu Tukundane, jambo kama hili na mimi nililipendekeza, na kwenye pendekezo langu, jibu la swali lako hili pia lipo.
kwa kuwasaidia wavivu wa kufungua links
P
 
P
 
Magufuli kama anafanya vizuri kwa nini aachiwe kuiongoza nchi kwa muda wote huo pasipo kuitishwa uchaguzi? Kiongozi mzuri sindiye anaetakiwa apitie kwenye uchaguzi huru na haki ili aweze kujipima ubora wake wa kuiongoza nchi?.
 

Njaa ni mbaya sana.
 
Ataendelea kwa katiba ipi, kupokezana vijiti ndo uungwana
 
Yote mkuu inawezekana akituongoza siyo dhambi! hata Sasa anatuongoza tu vizuri mbona China wameweza kwa nini sisi tusiweze
 
Mzee baba naona aonezewe mda kabisa kashasema yeye siyo mnafiki wakusema amechoka ataendelea kuwatumikia watanzania
 
HUWA NAPATA TABU SANA NA HEKIMA ZA KIDUNIA, KWAMBA KADRI MTU ANAVYOZIDI KUELIMIKA NDIO ANAZIDI KUWA MPUUZI!
 
Kama ni hivyo basi, tusiishie kwa Magufuli peke yake, wale wote wanaochaguliwa kwa mazuri wanayoyafanya nao katika maeneo yao kusiwepo uchaguzi wakae muda wote wa Magufuli kuwepo madarakani, wabunge kwenye majimbo yao waendelee vilevile kusiwe na uchaguzi katika majimbo yao, wanafunzi wanaofanya vizuri darasani nao wasipimwe kwa kupewa mtihani kwa kuwa wanafanya vizuri darasani wabebwe hivyohivyo.
 
 
Kwa akili yako mbovu unaamini Ruvuma ni ya wangoni tu mbona na wanyiramba wapo songea ????? Tukana wote basi
Hata kama wanyiramba wapo, watakuwa wanajitambua siyo kama wangoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…