peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Issue sio kujiendeleza Bali ni kulitumikia chama,ukiwa na vigezo na viwango. Sio sawa na chadema ambao haina uelekeoTatizo mlijipendekeza mno mpaka mkawa mnakeraa kumbe kujipendekeza kote ni kusaka vyeo!!! Kwasababu mlijua magufuli ni mtu wa kuteua na kitengua
WAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025. WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa WATEULIWE kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na makatibu tawala wa wilaya na mikoa mbali mbali nchini. Ni kundi nzuri lililopo ndani ya CCM ambalo limesahaulika na likitumikia , litafaniikishwa kuisimamia ilani ya CCM na hatimaye uchaguzi mkuu 2025. Ninashauri wafanyiwe vetting na watagutwe popote walipo.
Aliyekuwambia maendeleo yanaletwa na wanaccm peke yao ni nani? Ni wapi kwenye katiba panaposema nchi lazima iongozwe na wanaccm peke yao?WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa WATEULIWE kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na makatibu tawala wa wilaya na mikoa mbali mbali nchini. Ni kundi nzuri lililopo ndani ya CCM ambalo limesahaulika na likitumikia , litafaniikishwa kuisimamia ilani ya CCM na hatimaye uchaguzi mkuu 2025.
Kuwa mpoleAliyekuwambia maendeleo yanaletwa na wanaccm peke yao ni nani? Ni wapi kwenye katiba panaposema nchi lazima iongozwe na wanaccm peke yao?
Mambo haya mwisho wa siku yataturudisha kule tulikokukataa, ipo siku tutaanza kusema watu wa dini fulani ndiyo wapewe nafasi za uongozi kwasababu 1, 2,23.., ipo siku tutasema watu wa kabila fulani wapewe nafasi za uDC nk kwa sababu ya kumuenzi mtu fulani
Nimepoa haya jibu swaliKuwa mpole
Waitara.Issue sio kujiendeleza Bali ni kulitumikia chama,ukiwa na vigezo na viwango. Sio sawa na chadema ambao haina uelekeo
2017 ni zamani sana,hawako relevant tena.Labda wale waliofika angalau tano bora kwenye kinyang'anyiro cha ubunge katika ngazi ya chamaWAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025.
WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa wateuliwe kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na makatibu tawala wa wilaya na mikoa mbalimbali nchini.
Ni kundi nzuri lililopo ndani ya CCM ambalo limesahaulika na likitumikia , litafaniikishwa kuisimamia ilani ya CCM na hatimaye uchaguzi mkuu 2025.
Ninashauri wafanyiwe vetting na watagutwe popote walipo.
Ongezea,Maadui wakubwa wa taifa letu ni Hawa wafuatao:-
- CCM
- Katiba ya 1977
- Mwenge wa uhuru
Waliofika Tano bora kwenye kinyang'anyiro cha ubunge walikuwa wote hawana sifa kwa sababu zifuatazo:-2017 ni zamani sana,hawako relevant tena.Labda wale waliofika angalau tano bora kwenye kinyang'anyiro cha ubunge katika ngazi ya chama
50-50 Zanzibar na BaraWAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025.
WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa wateuliwe kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na makatibu tawala wa wilaya na mikoa mbalimbali nchini.
Ni kundi nzuri lililopo ndani ya CCM ambalo limesahaulika na likitumikia , litafaniikishwa kuisimamia ilani ya CCM na hatimaye uchaguzi mkuu 2025.
Ninashauri wafanyiwe vetting na watagutwe popote walipo.
Ongezea,
. Ukabila,
. udini ,
. Chadema
Kwa hiyo mnataka mteuliwe kuwa Wakuu wa Wilaya ili mkakitumikie chama!! Kweli kuna ulazima wa kuidai Katiba Mpya.Issue sio kujiendeleza Bali ni kulitumikia chama,ukiwa na vigezo na viwango. Sio sawa na chadema ambao haina uelekeo