Wajumbe waliogombea NEC Taifa mwaka 2017 wateuliwe kuwa Wakuu wa Wilaya

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
WAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025.

WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa wateuliwe kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na makatibu tawala wa wilaya na mikoa mbalimbali nchini.

Ni kundi nzuri lililopo ndani ya CCM ambalo limesahaulika na likitumikia , litafaniikishwa kuisimamia ilani ya CCM na hatimaye uchaguzi mkuu 2025.

Ninashauri wafanyiwe vetting na watagutwe popote walipo.
 
Tatizo mlijipendekeza mno mpaka mkawa mnakeraa kumbe kujipendekeza kote ni kusaka vyeo!!! Kwasababu mlijua magufuli ni mtu wa kuteua na kitengua
Issue sio kujiendeleza Bali ni kulitumikia chama,ukiwa na vigezo na viwango. Sio sawa na chadema ambao haina uelekeo
 
CCM ile ilishakufa,
Na hii CCM mpya ya mwenda zake na kina Bashiru,Polepole,na wale maelfu waliokatwa na wajumbe wapelekwe wapi?
 
WAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025. WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa WATEULIWE kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na makatibu tawala wa wilaya na mikoa mbali mbali nchini. Ni kundi nzuri lililopo ndani ya CCM ambalo limesahaulika na likitumikia , litafaniikishwa kuisimamia ilani ya CCM na hatimaye uchaguzi mkuu 2025. Ninashauri wafanyiwe vetting na watagutwe popote walipo.

Mjumbe unajitafutia ulaji?
 
WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa WATEULIWE kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na makatibu tawala wa wilaya na mikoa mbali mbali nchini. Ni kundi nzuri lililopo ndani ya CCM ambalo limesahaulika na likitumikia , litafaniikishwa kuisimamia ilani ya CCM na hatimaye uchaguzi mkuu 2025.
Aliyekuwambia maendeleo yanaletwa na wanaccm peke yao ni nani? Ni wapi kwenye katiba panaposema nchi lazima iongozwe na wanaccm peke yao?
Mambo haya mwisho wa siku yataturudisha kule tulikokukataa, ipo siku tutaanza kusema watu wa dini fulani ndiyo wapewe nafasi za uongozi kwasababu 1, 2,23.., ipo siku tutasema watu wa kabila fulani wapewe nafasi za uDC nk kwa sababu ya kumuenzi mtu fulani
 
Kuwa mpole
 
Usishangae mleta mada ni wa ng'ambo ya mto ila kajivika majani kwa muda ili kupima upepo
 
Huku ni kuingilia mamlaka ya uteuzi wa Rais aliyopewa kwa mujibu wa katiba. So please and please usimpangie Rais cha kufanya kwa sababu yeye ndiye anajua ni watu gani awateue ili wamsaidie
 
Issue sio kujiendeleza Bali ni kulitumikia chama,ukiwa na vigezo na viwango. Sio sawa na chadema ambao haina uelekeo
Waitara.
Silinde
Domo wa.dodoma
Gekuli
Wale.wapuuzi 19 bado chadema hauna muelekeo.
Mpumbavu wewe
 
WAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025.

WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa wateuliwe kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na makatibu tawala wa wilaya na mikoa mbalimbali nchini.

Ni kundi nzuri lililopo ndani ya CCM ambalo limesahaulika na likitumikia , litafaniikishwa kuisimamia ilani ya CCM na hatimaye uchaguzi mkuu 2025.

Ninashauri wafanyiwe vetting na watagutwe popote walipo.
2017 ni zamani sana,hawako relevant tena.Labda wale waliofika angalau tano bora kwenye kinyang'anyiro cha ubunge katika ngazi ya chama
 
Waliofika Tano bora kwenye kinyang'anyiro cha ubunge walikuwa wote hawana sifa kwa sababu zifuatazo:-
1. Walitumia rushwa
2. Hawakuwahi kufanyiwa vetting
3. Wengi hawakuwa na sifa za kutosha walichangia chama kununua fomu kuwezesha zoezi la uchaguzi
 
WAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025.

WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa wateuliwe kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na makatibu tawala wa wilaya na mikoa mbalimbali nchini.

Ni kundi nzuri lililopo ndani ya CCM ambalo limesahaulika na likitumikia , litafaniikishwa kuisimamia ilani ya CCM na hatimaye uchaguzi mkuu 2025.

Ninashauri wafanyiwe vetting na watagutwe popote walipo.
50-50 Zanzibar na Bara
 
Issue sio kujiendeleza Bali ni kulitumikia chama,ukiwa na vigezo na viwango. Sio sawa na chadema ambao haina uelekeo
Kwa hiyo mnataka mteuliwe kuwa Wakuu wa Wilaya ili mkakitumikie chama!! Kweli kuna ulazima wa kuidai Katiba Mpya.
 
Kuna wale wa 2020 .ambao waligombea ili kutengeneza connection na cv zao zifike ikulu
 
Back
Top Bottom