Wajumbe Wapiga kura katika Uchaguzi wa CHADEMA wanasinzia sana ukumbini kulikoni?

Wajumbe Wapiga kura katika Uchaguzi wa CHADEMA wanasinzia sana ukumbini kulikoni?

alama ni yale makelele na mdomo walikua wakipga tangu majuzi,

ni rahisi mno kuwatambua, wana sura za kufanana, wako katika hali ya kupoteza matumaini na kukata tamaa, ni watu wasio na uhakika wa kesho yao financially,

huenda ni mkesha wa juzi katika kula na kunywa au njaa kwasabb leo ni kama wamepita dash 🐒
downloadfile-1.jpg
 
Halafu mbona bado mapema sana my friends, ladies and gentlemen? Yaani wamepoteza umakini kabisa.

Au kuna kitu wamekula au kunywa kinawafanya kusinzia kwa pamoja? Na inaruhusiwa kufanya hivyo kwenye jambo muhimu kama hili? Au ni njaa ndungu zangu? Si wapatiwe chochote kitu basi?

Au ni uchovu wa kawaida tu? Lakin kila mtu si anachoka?
Au walikesha kwenye maombi jana, kabla ya kuingia ukumbini leo? Inashangaza sana, hadi wakala mkuu wa mgombea uenyekiti anasinzia, ni sawa kweli hii?

binafsi bado sielewi kulikoni?

au wamekata tamaa na kumkatia tamaa mgombea wao? Au hii imeenda?

Una maoni gani ndugu mdau wa siasa na demokrasia,

shuhuda na mfuatiliaji wa karibu wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa?🐒
Wanashindana na jasusi la kitaifa. Ngoja kama hawajapigwa za usoni.😂🤣
 
Huko ccm hamna uwezo wa kufanya uchaguzi kama huwo kwa sababu mnakumbuka ushindani na uchaguzi wa rais hamwezi kushindana kwa uwazi kama hali hiyo wanaonesha chadema.
 
Huko ccm hamna uwezo wa kufanya uchaguzi kama huwo kwa sababu mnakumbuka ushindani na uchaguzi wa rais hamwezi kushindana kwa uwazi kama hali hiyo wanaonesha chadema.
Gentleman,
wapiga kura 996 tu, huku wagombea uongozi wakiwa watatu pekee but uchaguzi unafanyika usiku kucha dah! aise ushindani ni mkali 🤣
 
Kumbe unafurahia ushindani wa chadema kwanini huko ccm hamfanyi ushindani kama huwo?
nafurahia uchaguzi wa wapiga kura na wagombea uongozi ukilinganisha na muda unaotumika,

ni kama vile bado analogy inatumika zaidi Chadema kuliko digital.

kwa uchache huo wa wagombea na wapiga kura, digital technology inafaa zaidi kua applied 🐒
 
Hapa sasa umevuka viwango vya upuuzi ndugu yangu maana umeshaandika yote na yamekuja kuwa uzushi mtupu
Je hao unaowasema wana alama maalum mpaka uwatambue?
Huyu jamaa amejitoa ufahamu na kujifanya chizi makusudi, kutoa kashfa zote chafu kwa Chadema anafungua threads hata 5 kwa siku. Ni special project.
 
Back
Top Bottom