Wajumbe Wapiga kura katika Uchaguzi wa CHADEMA wanasinzia sana ukumbini kulikoni?

Wajumbe Wapiga kura katika Uchaguzi wa CHADEMA wanasinzia sana ukumbini kulikoni?

Halafu mbona bado mapema sana my friends, ladies and gentlemen? Yaani wamepoteza umakini kabisa.

Au kuna kitu wamekula au kunywa kinawafanya kusinzia kwa pamoja? Na inaruhusiwa kufanya hivyo kwenye jambo muhimu kama hili? Au ni njaa ndungu zangu? Si wapatiwe chochote kitu basi?

Au ni uchovu wa kawaida tu? Lakin kila mtu si anachoka?
Au walikesha kwenye maombi jana, kabla ya kuingia ukumbini leo? Inashangaza sana, hadi wakala mkuu wa mgombea uenyekiti anasinzia, ni sawa kweli hii?

binafsi bado sielewi kulikoni?

au wamekata tamaa na kumkatia tamaa mgombea wao? Au hii imeenda?

Una maoni gani ndugu mdau wa siasa na demokrasia,

shuhuda na mfuatiliaji wa karibu wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa?🐒

View attachment 3209631View attachment 3209633
View attachment 3209632
Kikowapi sasa
 
Back
Top Bottom