Wajumbe Wapiga kura katika Uchaguzi wa CHADEMA wanasinzia sana ukumbini kulikoni?

Wapiga kura 1016 uslmipovuka asilimia 49 unarudiwa uchaguzi
 
Ratiba mbaya, hakukuwa na ulazima wa kukesha, idadi ya wapiga kura sio kubwa kiasi cha kukesha. Vinginevyo hongera zao
 
Sasa hii nayo ni habari?

Ndo mjifunze wenzenu wanavyofanya mambo yao kidemokrasia.

Na hii inathibitisha kuwa wana moyo mkuu na jambo wanalolifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…