Wajuvi njooni mnijuze, "Mungu aliumba dhambi lini?"

Malaika wameumbwa kwa nuru.

Binadamu kwa udongo na majini wameumbwa kwa moto.

Malaika hawana uhiyari, wao ni watiifu muda wote.

Binadamu na majini wana uhiyari wa kushukuru/kutii au kukufuru.

Shetani /ibilisi alikuwa ni jini miongoni mwa kundi la malaika. Hivyo ana uhiyari wa kutii au kutokutii/kukufuru.

Kosa kubwa alilolifanya shetani ni kutotii maamrisho aliyopewa na Mungu na kuishia kumkufuru Mungu na hatimaye kupewa laana ya milele.

Shetani hakutaka kuangamia peke yake hivyo ametengeneza njama za kutafuta wafuasi wake wa kuangamia naye pamoja kwenye kukufuru na kutenda madhambi.

Hapo ndipo dhambi ilipoanzia.
 
Hahaha mkuu unazunguka makusudi tu ila sawa basi imetosha, Zuella zuu umeona huku anavyozunguka zunguka jibu hana basi ni kuzunguka tu yaan ilimaradi tu, ndio maana mwanzo nilikwambia nisikupitishe huku sio sehemu yako ukalazimisha ona sasa unapuyanga
 
Wewe ndiye hujatoa jibu kwa swali langu la sijatoa jibu wapi, vipi.

Sijatoa jibu wapi? Vipi?

Usikimbie.
 
Wewe ndiye hujatoa jibu kwa swali langu la sijatoa jibu wapi, vipi.

Sijatoa jibu wapi? Vipi?

Usikimbie.
Mkuu wewe unajua kujibadirikia mwenyewe, hapo ni unapambana na wewe mwenyewe lile swali nililokuuliza hujajibu umelikimbia why? Give me reasons and please write in English ili kusudi nikuelewe maana kiswahili unaandika unarudiarudia
 
Mkuu wewe unajua kujibadirikia mwenyewe, hapo ni unapambana na wewe mwenyewe lile swali nililokuuliza hujajibu umelikimbia why? Give me reasons and please write in English ili kusudi nikuelewe maana kiswahili unaandika unarudiarudia
Nimekuuliza swali gani?

Liweke hapa.
 
Mtu yeyote anayedai kuwa atheist ni mtu ambaye anaamua kuishi kwenye edge ya science bila kwenda deeper

πŸ‘‡


Atheism ni pure delusion

Kuna watu wa kukimbia hoja ila sio huyo jamaa, kuna sehem Tu nadhani mnashindwa kuelewana
 
Kuna watu wa kukimbia hoja ila sio huyo jamaa, kuna sehem Tu nadhani mnashindwa kuelewana
Tangu jana anazunguka sijasema amekimbia nasema hajibu swali nililomuuliza na nilijua tangu mwanzo nikamkataza akaliganda anataka nimuulize na nilipomuuliza swali la kwanza jibu alilotoa ndio nikajua hata nikimuuliza hatoweza kunipa jibu, wewe unaweza kunielezea Binadamu wa kwanza kuwepo duniani alikuaje kuaje? Yaan ile source ya sisi binadamu tuliopo hiki kizazi cha sasa ni matokeo ya kizazi cha kwanza cha binadamu sasa elezea kizazi cha kwanza cha binadamu kilikuaje? Km unaweza kujibu msaidie maana yeye anajizungusha tu hajibu swali
 
ndio janja yake akiona kaishiwa hoja πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…