Wajuvi njooni mnijuze, "Mungu aliumba dhambi lini?"

Siku njema mkuu.
Kwa nini unanitakia siku njema bila kujibu maswali yangu?

Unanitakia siku njema au unanidharau?

Mimi naona unanidharau, hujanitakia siku njema.

Siku njema kwangu ni pale utakapojibu maswali yangu, ukikimbia maswali sijawa na siku njema.

Naona tumeanza mjadala halafu ukakimbia maswali.

Are you a coward?

Kwa nini hutaki kujibu maswali yangu?
 
Sikudharau kaka,niko na average IQ,nikianza kubishana na wewe ukianza kumix na maneno yako yale ya fallacy sijui.

Nitashindwa nijibu nini watu wataona nimeshindwa kwa hoja.

Nimeona nisiendelee mbele Maana sioni ambacho,ni kipya kwa huu mjadala.
 
Nirudishe basi nikimbie.

Ukishindwa umekimbia wewe.

Mtu mzima hatishiwi nyau, acha ujinga.
Tuanzie pale kwenye Universal Declaration hio ni imetungwa hapo tu baada ya Vita ya pili ya dunia mimi nakupeleka AD huko mpaka BC, uniambie Mwanadamu alikua anaishi vipi km sio kufuata sheria sasa turudi nyuma twende mpaka stone Age na Iron Age, tuangalie Mwanadamu alikua anaishije? Unanielewa tupo pamoja hapo halafu tuje tuseme hii ni dhambi na hii sio dhambi, achana na civilizations za Mwanadamu za miaka hii mimi nazungumzia source chanzo cha Mwanadamu sio mabaki ya Mwanadamu, tunaelewana vizuri sijui hapo? Nimekwambia usikimbie sasa toa ufafanuzi vizuri hapo achana na kipindi hiki rudi Kale kwenye source ya Mwanadamu uangalie kwanini nikasema kwamba dhambi hakuna hata hayo unayoyasema ni makosa hakuna ila tu kadri binadamu wanavyostaarabika basi wanaunda mfumo fulani wa kiistarabu unaoonyesha kwamba hiki ni sawa na hiki sio sawa kutokana na matokeo ya Kale kuna mambo yalitokea Kale ambayo yamemfundisha Mwanadamu ambae anamtawala mwenzie kwa kumuumiza, mfano Atomic bomb na Hydrogen bomb hayo ni mabomu hatari zaidi duniani ambayo sio afya kwa uhai wa Mwanadamu kwanini kwa sababu lilishagatokea tukio huko Japan visiwa vya Nagasaki na Heroshima vilipigwa na Marekani ukiondoa hilo pia kuna issue ya Chernobyl disaster nuclear power disaster USSR baada ya hapo watu wakapata funzo kwamba hiki kitu sio afya kwa uhai wa Mwanadamu, ushaelewa sio dhambi ila kinadhulumu uhai wa Mwanadamu na wanadamu wanataka kuishi kwa amani na upendo kwenye dunia wafanyeje? Ndio wanaunda vijikanuni na taratibu kwamba hiki ukifanya upo sahihi na hiki ukifanya kwa afya ya uhai wa Mwanadamu unakua haupo sahihi ingawa sio kosa wala sio dhambi ila unadhulumu uhai wa Mwanadamu mwengine kwa taratibu za kibinadamu zilizowekwa na Mwanadamu unaoonekana haupo sahihi, unanielewa vizuri? Nataka usikimbie
 
Dhambi ni matokeo sio asili.. Sio kitu kinachoweza kusimama pekeyake! Na kinachoitwa dhambi ni dhana dhanifu inayotofautiana kutoka imani moja hadi nyingine
Kwa hiyo una maanisha matokeo ni mambo ambayo yapo out of control kwenye power ya Mungu?
 
Sikudharau kaka,niko na average IQ,nikianza kubishana na wewe ukianza kumix na maneno yako yale ya fallacy sijui.

Nitashindwa nijibu nini watu wataona nimeshindwa kwa hoja.

Nimeona nisiendelee mbele Maana sioni ambacho,ni kipya kwa huu mjadala.
Sasa kama una average IQ mbona unajimwambafy sana kumix mambo ambayo hata kuya define umeshindwa?

Una hakika una average IQ na si below average IQ?

IQ ni nini? Unaipimaje? IQ yako umeipimaje? Umehakikishaje ni average IQ na si below average IQ?
 
Kwa hiyo una maanisha matokeo ni mambo ambayo yapo out of control kwenye power ya Mungu?
Hapana hakuna niliposema hivyo tafadhali.. Nilichosema dhambi ni matokeo.. Lakini sijamtaja Mungu wala ishu za out of control
 
Tuanzie pale kwenye Universal Declaration hio ni imetungwa hapo tu baada ya Vita ya pili ya dunia mimi nakupeleka AD huko mpaka BC, uniambie Mwanadamu alikua anaishi vipi km sio kufuata sheria sasa turudi nyuma twende mpaka stone Age na Iron Age, tuangalie Mwanadamu alikua anaishije? Unanielewa tupo pamoja hapo halafu tuje tuseme hii ni dhambi na hii sio dhambi, achana na civilizations za Mwanadamu za miaka hii mimi nazungumzia source chanzo cha Mwanadamu sio mabaki ya Mwanadamu, tunaelewana vizuri sijui hapo? Nimekwambia usikimbie sasa toa ufafanuzi vizuri hapo achana na kipindi hiki rudi Kale kwenye source ya Mwanadamu uangalie kwanini nikasema kwamba dhambi hakuna hata hayo unayoyasema ni makosa hakuna ila tu kadri binadamu wanavyostaarabika basi wanaunda mfumo fulani wa kiistarabu unaoonyesha kwamba hiki ni sawa na hiki sio sawa kutokana na matokeo ya Kale kuna mambo yalitokea Kale ambayo yamemfundisha Mwanadamu ambae anamtawala mwenzie kwa kumuumiza, mfano Atomic bomb na Hydrogen bomb hayo ni mabomu hatari zaidi duniani ambayo sio afya kwa uhai wa Mwanadamu kwanini kwa sababu lilishagatokea tukio huko Japan visiwa vya Nagasaki na Heroshima vilipigwa na Marekani ukiondoa hilo pia kuna issue ya Chernobyl disaster nuclear power disaster USSR baada ya hapo watu wakapata funzo kwamba hiki kitu sio afya kwa uhai wa Mwanadamu, ushaelewa sio dhambi ila kinadhulumu uhai wa Mwanadamu na wanadamu wanataka kuishi kwa amani na upendo kwenye dunia wafanyeje? Ndio wanaunda vijikanuni na taratibu kwamba hiki ukifanya upo sahihi na hiki ukifanya kwa afya ya uhai wa Mwanadamu unakua haupo sahihi ingawa sio kosa wala sio dhambi ila unadhulumu uhai wa Mwanadamu mwengine kwa taratibu za kibinadamu zilizowekwa na Mwanadamu unaoonekana haupo sahihi, unanielewa vizuri? Nataka usikimbie
Wewe unajua kusoma kwa ufahamu?

Nikivyokuambia watu wawili wakikaa pamoja tu wanajitengenezea sheria za kuishi pamoja uliweza kusoma na kuelewa?

Au una tongotongo za ubongo huwezi kusoma kwa ufahamu?

Halafu kwa nini unaandika bila paragraph?

Wewe ni ngumbaru?
 
Sasa kama una average IQ mbona unajimwambafy sana kumix mambo ambayo hata kuya define umeshindwa?

Una hakika una average IQ na si below average IQ?

IQ ni nini? Unaipimaje? IQ yako umeipimaje? Umehakikishaje ni average IQ na si below average IQ?
Kwani watu wenye below IQ ulitumia nini kuwapima?

Nilipima kupitia jinsi navyoishi,jinsi nivyokumbuka,jinsi ninavyoelewa mambo mbali mbali
 
Wapi ninesema nimewapima wenye low IQ?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unapimaje IQ kupitia unavyoishi?

Unaelewa kuwa IQ ni kipimo maalum, kina upimaji wake, kina test maalum, kina score zake?

Au unaharisha tu kusema "IQ" kama zuzu?

Una IQ ya ngapi? What is your IQ score?
 
Wewe unajua kusoma kwa ufahamu?

Nikivyokuambia watu wawiki wakikaa pamoja tu wanajitengenezea sheria za kuishi oamoja uliweza kusoma na kuelewa?

Au una tongotongo za ubongo huwezi kusoma kwa ufahamu?

Halafu kwa nini unaandika bila paragraph?

Wewe ni ngumbaru?
Mkuu punguza jazba hapa tunajibu kwa hoja sio kwa jazba, kwanza umenielewa nilichomaanisha?
 
Unajuaje hii jazba na hii hoja?

Unajuaje kuwa wewe hujalelewa kwenye utamaduni nyoronyoro tu ambao ukiona hoja imetolewa kwa energy, kwa spirit, kwa vigor, unaiita jazba, kwa sababu wewe ni nyoronyoro tu hujazoea hoja kutolewa kibabe?

Acha unyoronyoro, jibu hoja.

Kama una uwezo wa kuiona at all.
 
Unanuaje hii jazba na hii hoja?

Unajuaje kuwa wewe hujalelewa kwenye utamaduni nyoronyoro tu ambao ukiona hoja imetolewa kwa energy, kwa spirit, kwa vigor, unaiita jazba, kwa sababu wewe ni nyoronyoro tu hujazoea hoja kutolewa kibabe?

Acha unyoronyoro, jibu hoja.

Kama una uwezo wa kuiona at all.
Sasa ubabe wa nini mkuu, unafikiri wote tukija kibabe tunaweza kuelewana? Kwanza nilichokuuliza hujajibu naona unakimbiakimbia tu ndio maana nilikwambia nikikupeleka huku utakimbia mkuu ukanilazimisha nikupeleke umeona kilichotokea sasa? Unajikimbiza mwenyewe
 
Wapi ninesema nimewapima wenye low IQ?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unapimaje IQ kupitia unavyoishi?

Unaelewa kuwa IQ ni kipimo maalum, kina upimaji wake, kina test maalum, kina score zake?

Au unaharisha tu kusema "IQ" kama zuzu?

Una IQ ya ngapi? What is your IQ score?
Napenda style yako ya kuamisha comment kuwa swali inavutia sana hapa ndipo watu wengi huchanyikiwa ukiwaga kwenye hii midahalo.

Kiufupi mkuu sijui lolote kuhusu maswala ya IQ niliona thread hapa JF ikidao watu hawa na hawa ni IQ fulani nikajiona nipo sehemu fulani.

Unaweza nisaidia njia ya kutambua zaidi maswala ya IQ na upimaji wake???
 
Hapana hakuna niliposema hivyo tafadhali.. Nilichosema dhambi ni matokeo.. Lakini sijamtaja Mungu wala ishu za out of control
Wala usijali, hiyo sio accusations mimi ndio nimehoji hivyo.

Hoja yangu ilijikita zaidi katika zile sifa kuu za Mungu yani ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote.

Kwenye swali linalo hoji kwanini dhambi ipo. Halafu wewe ukjibu kuwa dhambi ni matokeo sio asili tafsiri yake ni kwamba uwezo wa Mungu upo limited kwenye yale yote ambayo ni matokeo.

Swali langu ni kwanini dhambi ipo?
 
Sasa ubabe wa nini mkuu, unafikiri wote tukija kibabe tunaweza kuelewana? Kwanza nilichokuuliza hujajibu naona unakimbiakimbia tu ndio maana nilikwambia nikikupeleka huku utakimbia mkuu ukanilazimisha nikupeleke umeona kilichotokea sasa? Unajikimbiza mwenyewe
Haya, natoa ubabe.

Sijakimbia, wewe ndiye huwezi kwenda na speed yangu. Hiyo ni speed yangu ya kawaida, wewe ndiye dhaifu.

Sasa udhaifu wako huwezi kwenda na speed yangu, halafu lawama unanipa mimi kuwa nakimbia?

Haya.

Tuanze upya.

Ambacho sijakujibu ni kipi?
 
Napenda style yako ya kuamisha comment kuwa swali inavutia sana hapa ndipo watu wengi huchanyikiwa ukiwaga kwenye hii midahalo.

Kiufupi mkuu sijui lolote kuhusu maswala ya IQ niliona thread hapa JF ikidao watu hawa na hawa ni IQ fulani nikajiona nipo sehemu fulani.

Unaweza nisaidia njia ya kutambua zaidi maswala ya IQ na upimaji wake???
Yani wewe unaleta habari za IQ halafu nikikubana unasema nahamisha mada?

Wakati wewe ndiye umeleta habari za IQ?

Huoni kuwa wewe ndiye umeleta habari za IQ, mimi nakuhoji tu?

Kwa hiyo IQ nayo huijui unabumbabumba tu?

Atheism huijui, nikakubana ui define ukashindwa, ukarukia IQ.

Na IQ nayo huijui pia?
 
Mungu + Dini ni wizi Tena wa hali ya juu utapeli Mkubwa sana Huo kuwahi kutokea duniani

Dini zote chanzo chake ni ibada za mizimu, then wana wabrain wash watu kuwa ni ibada za Mungu period
 
Kama kawaida yenu ilivyo wafia dini mmeanza kutoa hoja dhaifu dhidi ya hoja nzito
 
Back
Top Bottom