Mawematatu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 468 Reaction score 608 Apr 21, 2022 #1 Kwenye picha ni mfano tu, nashawishikaga kuapply nasema au bas... Nisaidien jamani haya matangazo ya kazi nje ya tz si mara Moja au mbili nakutana nayo yanaukweli gani
Kwenye picha ni mfano tu, nashawishikaga kuapply nasema au bas... Nisaidien jamani haya matangazo ya kazi nje ya tz si mara Moja au mbili nakutana nayo yanaukweli gani
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Apr 21, 2022 #2 Wanaija hao. Potezea tu ninja.
Marashi JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 2,877 Reaction score 4,522 Apr 21, 2022 #3 Hutaki kwenda kuishi 'states' mzee? We apply kwasababu hata kama ni matepeli ili wakutapeli si lazima uwe na cha kutapeliwa
Hutaki kwenda kuishi 'states' mzee? We apply kwasababu hata kama ni matepeli ili wakutapeli si lazima uwe na cha kutapeliwa
Mawematatu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 468 Reaction score 608 Apr 21, 2022 Thread starter #4 Kama kweli ni wanaija,kule zenji penyewe zaina anataka asingizie kaibuwa, aliondoka chumban akiwa pekeake alishindeaje kubeba pesa zake. Yaani
Kama kweli ni wanaija,kule zenji penyewe zaina anataka asingizie kaibuwa, aliondoka chumban akiwa pekeake alishindeaje kubeba pesa zake. Yaani