Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Kama ni kampuni wafanye search Brela watajua kila jambo linaloihusu hiyo kampuni, pia wasome Memorandum na Article za hiyo kampuni zaidi ya yote watafute wakili anayefahamu mambo hayo ya sheria za familia na mirathi aweze kuwasaidia zaidi.Ni hivyo mkuu.
Bi ya ubia ya watu 2, mke na mume.
Ni kampuni , na itakuwa ipo wazi kabisa kuwa mama kachangia ngapi na mama Baba kuchangia ngapi itakuwa rahisi sana.
Ndo maana wameamua kwenda mahakamani.
Naona umesema jambo lipo Mahakamani tayari, basi mwambie aache kupoteza muda kwa kutafuta ushauri kw watu wengi bali atafute wakili ambaye atatumia.taaluma kumsaidia jambo lao.
Sababu kadiri anavyopambana mwenyewe ndivyo kadiri anavyozidi kuharibu kesi yao kama itaenda vibaya upande wao, asije kutafuta wakili wakati wa rufaa huwa ni 50/50 sana kupindua maamuzi.
Mshauri vyema Mkuu.