DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mkuu kama unafanya kazi ofisi ya mkemia jua kuwa sio wote mlio na Ufanisi kama wako hicho ni cha kwanza!mwanzo kabisa ulichokisema kilikuwa ni kama vile watu wa Ofisi ya Mkemia wanaweza kuhongwa wakatoa matokeo ya vipimo vya DNA tofauti. Ndio nikasema hilo haliwezekani kabisa sababu matokeo ya DNA ni sayansi endapo yakapatikana pengine hilo jambo halibebeki.
Siwezi kukataa moja kwa moja kuwa wapokea majibu wanaweza wakafanya uhuni ila bado ni rahisi kuweza kubaini ukweli, sababu bado matokeo yatakuwepo kwa Mkemia.
Cha pili mkuu siku hizi ofisi zipo corrupted sio kama enzi za jiwe ...
Mkuu huu ndo mtiririko WA DNA kuanzia order ya kuchukuliwa mpaka Jinsi ya kutafsiriwa ....
Huku ndo michezo mingi hufanywa kuanzia ofisi ya mkemia mpaka mamlaka au taasisi iliyoomba