Wakaka fueni boxer, acheni kuvaa zaidi ya mara moja

wanaume hatuna nyakati maalumu za kuwa safi kwa sababu hata shift na ufanyaji kazi ni mda wowote..

Saa moja wewe unaenda kazini ila mwenzio ndo utakuta anatoka kazini huko kweny kiwanda na amechafuka mpaka boxer..Saa 8 unarudi kazini au 11 mwenzio nae ndo anatoka kazini.

Hata sita usiku ndo wengine wanatoka kazini na mzunguko ndo huo huo kwa Dar hapa kama hutaki hizi harufu itabidi ununua gari yako tu.

Siku moja nilikuwa kweny daladala hii Morogoro road kufika fire pale mi nilikuwa naenda post mpya,basi nilikuwa nimekaa na mdada anaonekana anunukia pombe ila anatafuna Big G .

palikuwa na foleni gari imesimama akatoa kipima joto chake mule ndani alikuwa mara atoe kioo na lipstic anajiremba ,kupiga jicho nikaona chupi chafu ipo mule ndani na matambar🀧
 

 
Umekutana na shea yako nnje smart ndani umekuta hamna kitu,unajumuisha watu wote

we umempenda akiwa smart mmefika ndani unataka mpoteza kijana wa watu umekutana

na vya kukutana navyo,umekula msosi wako kimya kimya umemaliza,kelele unazileta nnje huku

ungemwambia pale pale kama kweli una ujasiri huo (hauna) uzuri mwamba kasha Tick ki note book chake,kwamba kashamalizana na wewe. Anatafuta type ingine (ije imfungulie uzi Vest imegina)

mission ni moja Wote mpite gheto kutia saini daftari la mahudhurio,mnakuja shtuka kushakucha umebaki na kazi yako 1 ya uchambuzi wa nguo zake za ndani,sahyo mwenzio anaenda OA kiwembeee kimenyoooka,wewe umebaki mchambuzi. Girls Women shtukeni basi kama wenzenu...aaah
 
Wewe ulijuaje kwamba ni box? Uliiona?

Hapo tu unanifanya niwaze maswali mengi. Lambda ulikuwa chobisi ukakutana na njemba. Hahaha..

Pole lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…