Wakaka wavivu wa kuoga jua kali, muoge mtanuka

Na wadada ogeni vizuri jamani
Sugua kwapa hizo
Sugua mstari wa ikweta huo
Sugua masikio
Kucha ziwe Safi
Sugua gaga
Badilisha hiyo pedi
Fanya steam bath baada ya siku zetu zile
Sugua huo ulimi,sugua kakaa gumu,sukutua hadi kooni toa hiyo harufu
Safisha hiyo pua
Nenda sauna walau Mara moja kwa mwezi kama unaweza afford ni elfu kumi..fanya scrub huo mwili ulainike wewe sio azizi Ki

Au basi....nitakuja na uzi wangu!!!!
 
Nakazia
 
Bado nakuja na kingine we subiri...

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usikasirike tunakumbushana..
Wakatu una tu "tuhumu" unatakiwa kuambatanisha vithibitisho kuwa wewe ni msafi.....
Tuoneshe hizo nguo nyeupe zikiwa zinang'aa......😁😁
 
Kuna kimoja umekisahau sana sana mabonge jamani kuna weupe fulani hivi upo sehemu huwa siupendi kabisa wajifunze kutumia dawa
Fafanua mkuu...

Mabonge nao hawajui kuoga...

Mi ndomana sipendi unene...
 
Kuna kimoja umekisahau sana sana mabonge jamani kuna weupe fulani hivi upo sehemu huwa siupendi kabisa wajifunze kutumia dawa bhna...
Unakuata ukinjua kuna harufu fulani hivi inakera
Nitakuja na uzi kamili leo zamu ya wanaume kufundishwa kuoga
 
Ikweta ndo hatari zaidi kwa wengi....
 
Wakishaoga utawapa "utamu" reward ni muhimu kama motivation kwa vijana wetu wavivu wa kuoga.
Please zingatia uwapoze kiaina.
 
Dar kila mtu ananuka kikwapa, si wasichana si wanaume. Kama wasichana ndiyo kabisaa hawajui kutumia marashi na vipodozi. Majuu ukiingia nyumba au ofisi au gari lenye wanawake kitu cha kwanza unachokutana nacho ni harufu nzuri japo wanawaume wanaweza kuwa wananuka. Bongo sasa.... wasichana kwa vikwapa ni balaa. Ukiingia sehemu yenye wasichana wengi unakaribishwa na kikwapa kikali sana. NB: najua Dar wanawake wengi wanajitahidi kuoga lakini tatizo hawajui kutumia vipodozi na manukato hivyo kwa sababu ya joto hawakawii kunuka kikwapa.
 
Kuna mtu aliandika huku kuwa watanzania wengi wao hawatumii deodorant...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…