Wakala wa kuzimu aliyetumwa na mafia

huo mwaka sasa si ndio vita ya kwanza ya dunia
 
Nadhani nyakati hizo New Orleans ilikuwa na hofu za hatari...Na Axeman angeamrisha lolote lingefanyika.
 
Na ndio muuaji sahihi Huyo, that's why mauaji yalikoma
 
Na ndio muuaji sahihi Huyo, that's why mauaji yalikoma
Vipi kama muuaji aliondoka kabla hajauawa? Vipi kama alishatimiza haja yake na hivyo hakuwa na haja ya kuendelea?




☆Steve
 
Aisee nondo za maana... Nimehisi kama na angalia filam vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…