Wakalenjini na Wakikuyu wataendelea kutawala Kenya miaka mingine 20

We nawe kama mganga wa kienyeji.
 
Hata lowasa alishinda lakini force zilimkataa alitaka kukiuka lile agano la kwamba hapa nchini Katu haitotokea kwa Mtu ambae amewahi kuwa Waziri Mkuu kuja kuwa raisi ya nchi hii.
We piga kura usipige kura nguvu toka ulimwengu usioonekana ndizo uamua nani awe Raisi.
Ruto anaweza kuwa Rais wa Kenya labda kama Odinga akifa madarakani then aje apambane na Martha Karua.
Conspiracy.
 
Hapa lijaluo MK254 na lenyewe litakuja kutudanganya kuwa linatoka kabila moja na fisadi Ruto
 

hii nchi iko backward sana karne hii bado inaongelea ukabila
 
Umeandika kimahaba na kishabiki sana.
 
Ruto akichukua nchi atawachinja wake ya kama kuku
 
Siku tano subiria.
West na Vatican tayari walishaamua Odinga.Jiulize Why UHURU amsapoti Odinga.Uliona alichifanyiwa Odinga uchaguzi uliopita ndicho atafanyiwa Ruto hata akishinda.
Umejaza mavi kichwani.
 
Rutoo can't be Kenyan President

Ever

Just wait time will tell you
 
Siasa za Kenya ziko based tu kwenye population za kikabila tu.Hata uwe mzuri vipi kama hiyo mikabila mikubwa kabila yako hawaivi hushindi!! Wajaluo hawaivi na makabila makubwa ya Kalenjini na wakikuyu
Ushindi kwake mgumu.Ok anaungwa mkono na Kenyatta lakini Kenyatta anamuunga mkono kama individual.Kabila yake haibi na wajaluo .Hivyo kufanya support ya Kenyatta kwa Raila Odinga isisaidie ushindindio maana nasema kura zitakazoamua Kenya nani anashinda ni yule anayetaka makabila makubwa .Kalenjini na kikuyu wako pamoja dhidi ya mjaluo mmoja Raila!!

Raia ataambulia umakamu wa Raisi
Sababu atakuwa mshindi wa pili ila uraisi hatashinda
 
Yaani we jamaa ni mjinga wa kutupwa.
 
Hawa wanaonekana bado watoto sana , mwingine anajidai sijui nguvu zisizoonekana mwingine sijui hawezi pewa nchi hivi walizishuhudia zama za Moi hawa? Walishuhudia jinsi Kibaki alivyotwaa nchi mbele ya makucha ya dikteta moi?

Ukweli ulio wazi Odinga based on his tribal ties hawezi shinda Kenya wala huyo Kenyatta hawezi mpa nchi.
 
Yaani we jamaa ni mjinga wa kutupwa.
Subiri
Odinga apate kura nyingi kwa wakikuyu na wakalenjini ambao kura zao ndio huamua nani awe Raisi kwa uwingi wao unatania

Kenya ili kufanya chaguzi Zikae vizuri walitakiwa kwanza wafute ukabila ikiwemo magazeti ya kikabila radio za kikabila,TV za kikabila nk

Hawajafanya hivyo.Hapo ndipo kushindwa uraisi wa Raila kulipojificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…