Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Hao madikteta wote hao uliowataja hawakuwa wanadamu wa kawaida isipokuwa ni shetani aliyeuvaa mwili wa binadamu,thus walifanya inhuman act na Mobutu aliuza nafsi yake na akapewa nguvu ya mnyama chui thus alipenda kuvaa ngozi ya chui.Stupid conspiracy,kama ulimwengu wa kiroho ndio unaleta kiongozi nchini,je Adolf hilter,IdicAmin,Mobutu na wao waliwekwa na huyo roho!?Ili iweje?Ili wafe,harafu huyo roho wa ulimwengu usioonekana anapata faida gani??
Yaani upuuzi aliofanya Maghufur wa kuhakikisha aliowataka ndio wanapiga kwenye uchaguzi,wewe unasema hsyo yote yamefanywa na "nguvu zsizoonekqnq kwa macho""!!ur fucking kidding bro!!waliohakikisha Maghu anapita sie tunawajua,na viongozi wote waliopo sasa walipitishwa na Maghu kwa nguvu za kidola,hakuna Cha ajabu Wala Cha nguvu zsizoonekqnq Wala spiritual intervention ni ufisadi tu,acha kuwa mvivu wa kufikili
KILA mission huja kwa hitaji la wakati ni SAwa na corona je bado unasikia tena wimbo wa corona, corona haipo baada ya mission complete.
Ishu ya Magu kuwaweka watu wake hilo ni takwa lake kwa interest zake za kumsaidia kubadili katiba bila kujua kesho nayo ni siku, system ya Dunia udeal na ngazi ya Uraisi haishughuliki na matawi. Wao huweka mtu wao wamtakao kwa interest zao na sio zetu.