Wakalenjini na Wakikuyu wataendelea kutawala Kenya miaka mingine 20

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Kesho jioni watu tutakuwa tumehakikishiwa ushindi mnono wa ndugu yetu William Ruto kuwa Rais wa Tano Kenya.

Ruto atakuwa Rais kwa mihula miwili Hadi 2032. Na baada ya hapo makamu wake Rigathi Gachagua ataendelea mihula mingine miwili Hadi 2042. Wakati huo tumeshapeleka binadamu mars.

Leo kuanzia jioni hadi kesho jioni nitafunga. Namuombea Ndugu Ruto na Gachagua waibuke na ushindi mnono.

Huo ni mpango wa Mungu believe me!
 
Mzuka wanajamvi!

Kesho jioni watu tutakuwa tumehakikishiwa ushindi mnono wa ndugu yetu William Ruto kuwa Rais wa Tano Kenya.

Ruto atakuwa Rais kwa mihula miwili Hadi 2032. Na baada ya hapo makamu wake Rigathi Gachagua ataendelea mihula mingine miwili Hadi 2042. Wakati huo tumeshapeleka binadamu mars.

Leo kwaanzia jion Hadi kesho jioni nitafunga. Namuombea Ndugu Ruto na Gachagua waibuke na ushindi mnono.

Huo ni mpango wa Mungu believe me!
Ruto hata akishinda kamwe HAPEWI Kenya, subiria na tuombe uhai
 
Kura za Wakalenjini na wakikuyu tu zimetosha kumvukisha this humble God fearing gentleman. Kusema kweli Ruto anastahili kuwa Rais wa Tano Kenya. Namuombea na nitafurahivsana akashinda.
Wishes, fine let us wait and see! He might win anyway hakuna anyejua....... we can speculate anything
 
Mzuka wanajamvi!

Kesho jioni watu tutakuwa tumehakikishiwa ushindi mnono wa ndugu yetu William Ruto kuwa Rais wa Tano Kenya.

Ruto atakuwa Rais kwa mihula miwili Hadi 2032. Na baada ya hapo makamu wake Rigathi Gachagua ataendelea mihula mingine miwili Hadi 2042. Wakati huo tumeshapeleka binadamu mars.

Leo kwaanzia jion Hadi kesho jioni nitafunga. Namuombea Ndugu Ruto na Gachagua waibuke na ushindi mnono.

Huo ni mpango wa Mungu believe me!
Usimuweke Mungu kwenye vitu vyako vya ajabu ajabu, raisi wanachagua wananchi wa Kenya sio Mungu.
 
Zimebaki siku chache tunzeni hii quotes mlete mrejesho.Ipo hivi duniani nzima ikiwemo serikali zote za duniani zipo chini ya nguvu za mamlaka ya watawala wa ulimwengu usioonekana, chochote kabla hakijafanyika ktk ulimwengu wa macho tayari kilishafanyika au afikiwa ktk ulimwengu usioonekana.
Uwe unataka utaki unakubali ukubali sisi sote tunaongozwa na nguvu zilizo nje ya uwezo wetu ambazo zipo ktk ulimwengu wa siri.
Kama serikali tu inawatambua wazee mfano wazee wa Dar ukadhani ni wazee as wazee sababu ya mvi au umri upo nyuma upo wrong,wale ni watu wazito Sana katk ulimwengu ulionekana wapo physical kuwakilisha wakuu wa ulimwengu usioonekana.
Ni SAwa na vatican, vatican si kama vatican ni zaidi ya vatican,thus wakuu wote wa duniani bila kujali dini ni lazima wasalute kwa Pope. Raila Odinga alimshinda UHURU uchaguzi uliopita akawa ajakubaliana masharti ya wakuu wa dunia thus akachezewa mchezo akapewa UHURU, Then anaitwa akaitwa akayakubali masharti thus anachukua this time hata Kenyatta analijua hili ndo maana kaamua kuwa upande wa Raila.
Kwann kambi ya Raila itashinda.
1.Wakenya wamechoka kutawaliwa na kabila/ ukanda mmoja miaka yote, wanataka kubadilisha ladha.
2.Kambi ya Odinga ni strong Ina wagombea smart na wameshauzika miaka mingi sana yaani Odinga na Martha Karua kuliko kambi ya Ruto pia ni wanasiasa mahiri na ni wachapa Kazi wakenya wanaona watavusha na sio ile kambi ya mafisadi.
3.Kambi ya ODIMA yaani Martha na Odinga Ina makampeni meneja smart na makini Sana kuliko kambi ya Ruto.
4.Ruto anajibomboa mwenyewe kwa kauli zake za chuki na visasi na ukosefu wa nidhamu.
5.Ruto ana visasi hana utulivu wa akili yaani sio matured and civilized enough kuongoza nchi,kiburi mjuaji mapepe yaani saikolojia yake haijabalance bado kulinganisha na Odinga,pia ni dictator hofu atawaletea machafuko wa Kenya.
6.Wakuu wa duniani hawawezi ruhusu hayawani aingie ikulu, Kenya ni muhimu Sana kama base ya kucontrol East, and Central Afrika ikiwemo Ghuba ya Aden. Utulivu wa Kenya ni muhimu Sana kwa interest zao.
7.Katika ulimwengu usioonekana wao chaguo lao ni Odinga kwa maana ni rahisi kumcontrol kinyota na sio Ruto yeye hayupo kabisa kwenye radar zao.
8.Ruto ni fisadi,Ruto ni mwizi.
Wiki ijayo sio mbali tunzeni post hii.RAILA AMORO ODINGA ndie next president wa Kenya.

Ruto is another dictator Arap Moi.
 
Hizi ni porojo za waziwazi
 
Hata mimi ninaamini kuwa Ruto ni mtu sahihi kwa nafasi hiyo.Lakini Wakenya ndio wanajua zaidi.
 
Why? ebu rudia! why?
Ukweli mchungu;
Ruto hatakiwi na matajiri wa Kenya?;
1. Wanadai ni atawafilisi.

2. Wanadai ana visasi.
Hili nimelisikia kwa masikio yangu nikiwa Naitobi wameapa kamwe Ruto hapewi hicho kiti.
Umeona Uhuru anavyompigania ni kulinda maslahi yake na matajiri wenzie.
 
There is some sense in your observation...
 
Kura za Wakalenjini na wakikuyu tu zimetosha kumvukisha this humble God fearing gentleman. Kusema kweli Ruto anastahili kuwa Rais wa Tano Kenya. Namuombea na nitafurahivsana akashinda.
Kenyatta alinawa tu mikono kama Pilato
Ok Yeye Kenyatta yawezekana alitaka kurudisha utawala kwa Odinga kulipa fadhila kwa familia ya baba mzazi wa Raila Odinga ambaye alikuwa makamu wa Raisi wa mzee Jomo Kenyatta kabla ya kutofautiana

Lakini siasa za Kenya ni mwiba .Alitakiwa waondoe ukabila kwanza ndipo Raila angeshinda!!
Ukabila Kenya unatisha.Mkikuyu au mkalenjini hawezi kugombea ujaluoni na akashinda kule.Na mjaluo hawezi gombea ukikuyuni na ukalenjini na akashinda

Hivyo tribal numbers ndio zina matter.Kabila kubwa ndio mwenye uwezo wa kushinda

Kalenjini watampa kura mkalenjini mwenzao William Ruto na wakikuyu hawatampa kura Raila mjaluo kutokana na ukabila watampa mkalenjini William Rutto wakalenjini na wajaluo wana alliance yao ya muda mrefu toka kipindi cha Moi ambaye ni mkalenjini aliyemlea William Ruto toka akiwa mdogo kijana mdogo mwimba kwaya kanisa la African Inland Church kanisa alilokuwa akisali Raisi Moi.

Ushindi wa Ruto uko wazi based on big tribal numbers!!
 
Back
Top Bottom