Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

Zanzibar ni ka-nchi fulani kakijinga hivi. Kama ndiyo utaratibu wao wakubaliane na maisha waliyoyachagua.

Ila mimi huwezi kunizuia kula hadharani kisa mfungo: hizo ni shida zako mwenyewe.

Watu wa dini kila siku asubuhi wanatusumbua na azana zao kesho tutaanza kusikia kelele za wachungaji lakini sisi tusioamini wala hatuna shida nao ila kwenye mfungo wanataka walete mambo ya kingese.
Unazuiwa tu fresh na hufanyi chochote kile. We nani bhana
 
Hadi anatozwa faini inamaana kunasheria amevunja ambayo adhabu yake ni tshs elfu 50,000 mwenye uelewa wa sheria hii aiweke hapa ilikuepusha lawama kwa pande zote
Sheria ya kwamba ukikitwa unapika nyumbani kwako. Hiyo sheria hakuna hata Taliban, Isis, Alqaeda hawana hiyo sheria. Sasa nyie ndugu zetu wa Kizimkazi, Makunduchi mnatumia Quran ipi?
 
Hii dini na wafuasi wake Elimu ya utambuzi ni finyu.

Wengi wao wanafanya mambo kwa mihemko, wanajifanya wanamuabudu MUNGU MUUMBA kwa dhati kipindi hiki huku ndani wamefuga misukule na majini bila kusahau ufirauni.

Huwezi kuta upuuzi huu kwa Buddha, Christians au Shinto.
Kuna yule sheikh anasema dhambi mbaya kabisa ya mtu wa imani yake ni bora kuliko wema mkubwa kabisa wa mtu asiye wa imani yake...aiseeee, maajab.
 
Kuna yule sheikh anasema dhambi mbaya kabisa ya mtu wa imani yake ni bora kuliko wema mkubwa kabisa wa mtu asiye wa imani yake...aiseeee, maajab.
Tatizo linaanzia hapo, ujinga umepewa kipaumbele kuliko maarifa na hekima.
 
Hadi anatozwa faini inamaana kunasheria amevunja ambayo adhabu yake ni tshs elfu 50,000 mwenye uelewa wa sheria hii aiweke hapa ilikuepusha lawama kwa pande zote
Hakuna sheria yoyote ile aliyovunja, zaidi tu ya kuendekeza mambo ya kijinga katika jamii.

Wakati fulani hizo dini zimekuwa kama kichaka cha vichaa kujificha, na baadaye kiwasumbua wengine kupitia huo ukichaa wao!
 
Pamoja na kujifanya wameshika dini kuliko waarabu wenye dini yao lakini hadi wana askari mashoga huwasikii wakikemea huo ushetani wanaona kula hadharani ndio dhambi shenzi zao
 
Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na kuamua kutoa taarifa mbaya zaidi ametozwa faini ya tsh 50000/=

Ndugu zangu ktka Imani mbona hamuendi kwenye ma hotel ya kitalii mkakamata hao wanaopika mchana na kuwauzia Wazungu chakula?
  • Mimi nimechukua take away naenda kulia kwangu shida Iko wapi?
  • Mtu Yuko ndani kwake anawapikia watu chakula ambao hawajafunga na hawali hadharani shida Iko wapi?
Sometimes Imani zinaleta ukichaa.
 
Dini ya mnyaazi ina vichaa na machizi wa kutoshaaa.
Polee yake mama ntilie.
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hiki ulichokiandika hapa.
NUmbers dont lie my brother walipa kodi wakubwa nchi hii ndio hao hao kina bakhressa, dewji , gsm,sabodo etc nyie subirini kuajiriwa huku kwenye kutumia akili hamkuwezi maana hamna akili mmekariri tu
 
Kodi kubwa wanalipa watu wa Pombe na sigara na mabenki.
Hayo ni mashirika ya uma ila individuals top ten wote ni wale wale tu na mkristo alikuwa mengi tu amba sasahivi kafa kila kitu kimepotea , anayefuata hapo chini ni turkey na fida hussein
 

Attachments

  • Screenshot_20240324-100257_Chrome.jpg
    Screenshot_20240324-100257_Chrome.jpg
    194 KB · Views: 3
Tukisema Makobas, akili zao ni finyu... Hamuelewi 🤒🤒
 
Tukisema Makobas, akili zao ni finyu... Hamuelewi 🤒🤒
katika walipa kodi wakubwa tanzani top 15 mkristo mmoja tu waliobaki wote waislamu haya hapo nani ana akili?
 

Attachments

  • Screenshot_20240324-100257_Chrome.jpg
    Screenshot_20240324-100257_Chrome.jpg
    194 KB · Views: 3
Back
Top Bottom