Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na kuamua kutoa taarifa mbaya zaidi ametozwa faini ya tsh 50000/=

Ndugu zangu ktka Imani mbona hamuendi kwenye ma hotel ya kitalii mkakamata hao wanaopika mchana na kuwauzia Wazungu chakula?
  • Mimi nimechukua take away naenda kulia kwangu shida Iko wapi?
  • Mtu Yuko ndani kwake anawapikia watu chakula ambao hawajafunga na hawali hadharani shida Iko wapi?
Hii naona imekaa kiuchochezi maana huwezi pika chakula kwako ndani halafu ukamatwe tena ukizingatia siyo imani yako kufunga. Mbona mahotelini watalii wanakula? hebu jiulize au umeleta hii stori tu humu kutaka gombanisha watu? ndiyo ujiulize kwanini mahotelini hawajakamatwa ni sababu stori yako inaulakini.
 
Autonomy,
Yaani mtatukana, mtaponda, mtachonga na mtaropoka na kuropoka mpendavyo lakini Wazanzibari wana exercise their right of being autonomous.

Ni haki ni halali na sahihi kuamua wafanyeje kwenye baadhi ya mambo na hawawezi kuingiliwa katika hilo si na JMT wala wapiga kelele wasiojua nini maana ya 'position' na Haki zao katika Jamhuri.

Sasa ninyi Vihiyo msiojielewa endeleeni kuimba kama chiriku lakini ukileta ujinga utachapwa hata Bakora, Mijeredi na Mikwaju juu.

Ndio maana mnaambiwa msome, mjifunze muelewe.
Ingekuwa hayo yanafanyika Mwanza, Moro au Arusha ingekuwa sahihi kulalama lakini si Ng'ambo ya pili.

Utake ndio hivyo, usitake ndio hivyo.

Nawasilisha kwa jeuri.
Una uhakika mna autonomy mkuu? 🤓 🤓 🤓
 
Kuna mmoja ni wa kike yupo huku bara ni rafiki yangu imebidi tu anigande coz kuna kitu ananufaika kwangu nafikiri hii program ikiisha akirudi kwao mawasiliano yatakata, amekuwa free kwangu mpaka huwa ananiita chogo
Huo ndo ukweli huwa mara nyingi wakifika bara wanakuta mambo tofauti sana lazima hakugande apo
 
Hii dini na wafuasi wake Elimu ya utambuzi ni finyu.

Wengi wao wanafanya mambo kwa mihemko, wanajifanya wanamuabudu MUNGU MUUMBA kwa dhati kipindi hiki huku ndani wamefuga misukule na majini bila kusahau ufirauni.

Huwezi kuta upuuzi huu kwa Buddha, Christians au Shinto.
Vipi na nyinyi mlioamrishwa kulana mikundoor makanisani
 
Wazenji wengi ni watu waliozaliwa uku na pia wamekulia huku wengi wao hata kwenda dar apo hawajawahi kabisa so huwa naona wengine wakifanikisha kwenda dar au mikoa mingine huwa mindset yao hubadilika na kuanza upya style za maisha mengine kiufupi wanaanza kurealize kwamba sisi wabongo huwa hatuna chuki nao bali wao ndo wanachukia na sisi naumia sana kwa kuandika haya ila wazenji wanatuchukia sana sisi wabongo haswa sisi wenye majina ya kikristo ....huwa wanatuona kama uchafu
Rudi kwenu ewe kafiri
 
Hii naona imekaa kiuchochezi maana huwezi pika chakula kwako ndani halafu ukamatwe tena ukizingatia siyo imani yako kufunga. Mbona mahotelini watalii wanakula? hebu jiulize au umeleta hii stori tu humu kutaka gombanisha watu? ndiyo ujiulize kwanini mahotelini hawajakamatwa ni sababu stori yako inaulakini.
soma post number #120 usiwe unakurupuka ku comment bila kuelewa kilichoandikwa.
 
Hii dini na wafuasi wake Elimu ya utambuzi ni finyu.

Wengi wao wanafanya mambo kwa mihemko, wanajifanya wanamuabudu MUNGU MUUMBA kwa dhati kipindi hiki huku ndani wamefuga misukule na majini bila kusahau ufirauni.

Huwezi kuta upuuzi huu kwa Buddha, Christians au Shinto.
Nina kamchepuko changu kimeninyima mchezo kanasema hadi mwezi huu wa kufunga uishe..nimebaki nashangaa tu..kwamba baada ya mwezi ni ruksa kufungulia bomba sio??..

Unafki tu mtupu.
 
Dhambi kwao ni Kula nguruwe tu
 
soma post number #120 usiwe unakurupuka ku comment bila kuelewa kilichoandikwa.
wewe ndiyo unakurupuka , sababu kipindi hiki kinafahamika kabisa ni kipindi cha kwa resma na ramadhani watu wote wamefunga sasa hao wanaokula kina nani? na kwa nini wasipike makwao?
 
Mtu amefunga lakini bado anamuonea wivu ambae hajafunga
 
Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na kuamua kutoa taarifa mbaya zaidi ametozwa faini ya tsh 50000/=

Ndugu zangu ktka Imani mbona hamuendi kwenye ma hotel ya kitalii mkakamata hao wanaopika mchana na kuwauzia Wazungu chakula?
  • Mimi nimechukua take away naenda kulia kwangu shida Iko wapi?
  • Mtu Yuko ndani kwake anawapikia watu chakula ambao hawajafunga na hawali hadharani shida Iko wapi?
Tanzania haina Dini, hawa walio watoza faini wanapaswa kuchukuliwa hatua
 
wewe ndiyo unakurupuka , sababu kipindi hiki kinafahamika kabisa ni kipindi cha kwa resma na ramadhani watu wote wamefunga sasa hao wanaokula kina nani? na kwa nini wasipike makwao?
Ubongo wako unakutuma kufikir kwamba Kila mtu amefunga sio?
 
Back
Top Bottom