Autonomy,
Yaani mtatukana, mtaponda, mtachonga na mtaropoka na kuropoka mpendavyo lakini Wazanzibari wana exercise their right of being autonomous.
Ni haki ni halali na sahihi kuamua wafanyeje kwenye baadhi ya mambo na hawawezi kuingiliwa katika hilo si na JMT wala wapiga kelele wasiojua nini maana ya 'position' na Haki zao katika Jamhuri.
Sasa ninyi Vihiyo msiojielewa endeleeni kuimba kama chiriku lakini ukileta ujinga utachapwa hata Bakora, Mijeredi na Mikwaju juu.
Ndio maana mnaambiwa msome, mjifunze muelewe.
Ingekuwa hayo yanafanyika Mwanza, Moro au Arusha ingekuwa sahihi kulalama lakini si Ng'ambo ya pili.
Utake ndio hivyo, usitake ndio hivyo.
Nawasilisha kwa jeuri.