Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Mkuu kila sehemu kuna taratibu. Taratibu kua halali au sio ya halali ilo ni jambo lingine. Ni jambo la ajabu sana kushangaa uulizwaji wa taratibuMajibu hayo, hayaondoi changamoto ya akili iliyopo. Kuulizia utaratibu huku ukijua kutopika kabisa kwa wasio wa imani hiyo haiwezi kuwa sehemu ya taratibu, ni changamoto ya akili, tena kupikia ndani kwako..!!