Nakubaliana na hoja, na niende mbali zaidi.Utoaji wa tenda awamu hii umekua mgumu kwa wakandarasi.wazawa kuzipata tenda za serikali.
Serikali itufikirie.
===
WAKANDARASI WALALAMIKIA KUACHWA KWENYE MIRADI: Wakandarasi wazawa wamesema wako hatarini kupotea huku wengine wakidai wameshafilisika kutokana na kukosa kazi wakati wakiendelea kulipa kodi za Serikali ambazo zimewaingiza kwenye madeni makubwa.
Wakizungumza wakati wao Mkutano wao Mkuu wa Tisa uliofanyika jijini Dar es salaam wamedai hali hiyo inatokana na kutoshirikishwa katika miradi mikubwa ya Serikali.
Kwa hili la Fosi Akaunti serikali haikuona mbali.Nadhani haujamuelewa mleta mada. Anazungumzia kampuni binafsi za watanzania zinabaniwa tenda hazipewi nafasi. Hayo makampuni umetaja mengi ni ya serikali moja kwa moja si ya watu binafsi. Hii ni mbaya kwa uchumi huu ambao serikali imeweza kuajiri raia 500,000 tu, wakati kuna population kubwa ya watu above 18 years of age wanatafuta ajira na hawapati.
Wangapi wanapewa kazi haziishi kila siku visingizio, mda wa kuleana haupo tena, tunataka matokeo sio longolongo mdomoniKwaiyo wachina ndo wapo vizuri eh.....Ila CCM mna laana kweli Yani hata sehemu ndogo Kama hii unataka ulete maneno yako ya ajabu dah!!!... Lord have mercy.
Acheni ujinga, kuweni na huruma ya fedha za walipa kodi nyie, unapeleka quotation mtu anaandika mara 10 zaidi ya bei halisi, kazi zenyewe haziishi kwa wakati! Mnakosaje uchungu na hela za walipakodi kisa uzawa? Vituo vya afya, hospitali, kukarabati shule kongwe, majengo ya serikali Dodoma kwa budget ndogo vitu vinaonekana kupitia force account! Hii ndo inaitwa innovations, zile zama za serikari ni shamba la bibi zimepitwa na wakati, ukifanya kazi hela hukosi tatizo mlizoea vya kunyonga kuchinja hamuwezi, badilikeni wajamani!Nakubaliana na hoja, na niende mbali zaidi.
Hivi ni sera ya CCM kuwaumiza makandarasi?
Katika kuanzisha Force Account Serikali imewaumiza sana sana makandarasi.
Sasa CCM itegemee nini uchaguzi huu?
Mkuu with due respect ku deliver kuna factor nyingi sanaBecause you can't deliver. ZERO BRAIN.
Mkuu pitia mada za nyuma utaweza kuona chanzo cha tatizo, unadhani serikali itakuwa tayari na kuendelea na strategies kama hizo ilizotumia for past 4 years?Acheni ujinga, kuweni na huruma ya fedha za walipa kodi nyie, unapeleka quotation mtu anaandika mara 10 zaidi ya bei halisi, kazi zenyewe haziishi kwa wakati! Mnakosaje uchungu na hela za walipakodi kisa uzawa? Vituo vya afya, hospitali, kukarabati shule kongwe, majengo ya serikali Dodoma kwa budget ndogo vitu vinaonekana kupitia force account! Hii ndo inaitwa innovations, zile zama za serikari ni shamba la bibi zimepitwa na wakati, ukifanya kazi hela hukosi tatizo mlizoea vya kunyonga kuchinja hamuwezi, badilikeni wajamani!
Tatizo kubwa la watanzania wajinga wajinga na wasioweza kufikiri ni kama wewe.Acheni ujinga, kuweni na huruma ya fedha za walipa kodi nyie, unapeleka quotation mtu anaandika mara 10 zaidi ya bei halisi, kazi zenyewe haziishi kwa wakati! Mnakosaje uchungu na hela za walipakodi kisa uzawa? Vituo vya afya, hospitali, kukarabati shule kongwe, majengo ya serikali Dodoma kwa budget ndogo vitu vinaonekana kupitia force account! Hii ndo inaitwa innovations, zile zama za serikari ni shamba la bibi zimepitwa na wakati, ukifanya kazi hela hukosi tatizo mlizoea vya kunyonga kuchinja hamuwezi, badilikeni wajamani!
Imeisha hiyoTatizo kubwa la watanzania wajinga wajinga na wasioweza kufikiri ni kama wewe.
Mumeaminishwa na bila kufikiri kwamba mtanzania mkandarasi mzalendo anaweka gharama mara kumi zaidi ya bei halisi.
Halafu wapumbavu kama ninyi wanaamini bila kupembua.
Na mkandarasi mzalendo akijaza gharama mara 10 ya bei halisi, mtu mjinga sana serikalini bado atampa hiyo kazi!
Na huyo mkandarasi akisha sua sua kufanya kazi bado atalipwa na serikali hela ya wavuja jasho!
Msimamizi wa serikali anayemsimamia huyo mkandarasi mzalendo kalala usingizi wa pono au yuko likizo.
Upumbavu wa arguments kama hizi huwa zinahadithiwa na watu majinga wajinga kama mtoa hoja hii.
Halafu watu wajinga zaidi wanaamini hizi propaganda na kuzirusha mitandaoni.
Na kama hali ya ukandarasi ndio hii basi hata serikali iko likizo.
Mkuu wat wanafikiri wakandarasi ni wajinga!Imeisha hiyo
Nadhani wizara ya maji ndio kuchafu sana. Kati ya miradi 100 ya maji nadhani inayokamilika haifiki 20Mkuu wat wanafikiri wakandarasi ni wajinga!
Tunazijua siri nyingi za ulaji wa maafisa wa serikali kwa kutumia kampuni hewa waziitazo “ makanadarasi”
Kampuni hizi zipo nyingi na zinatumiwa na wanasiasa kuibia serikali.
Hali iko hivi,
“Mkamdarasi” anapewa tenda kimagumashi kujenga hospitali.
Bei ni mara mbili ya halisi.
” Mkandarasi” ni kampuni ha mwanasiasa kwa hiyo haguswi.
Watu hawajui, lakini “wakandarasi” kama hawa wako wengi , hasa TAMISEMI na wizara ya MAJI.
Daah hii kitu inanikumbusha machungu sana ya mkandarasi fulani alikuwa ni sub kwenye mradi fulani maarufu sana, nilimkodishia vyombo kadhaa vya moto basi nilijuta na kurudi nyuma kuingiza vyombo kwenye mradi huo, malipo ni shida na matengenezo yalikuwa makubwa kutokana na eneo la kazi lilivyokuwa.Utoaji wa tenda awamu hii umekua mgumu kwa wakandarasi.wazawa kuzipata tenda za serikali.
Serikali itufikirie.
===
WAKANDARASI WALALAMIKIA KUACHWA KWENYE MIRADI: Wakandarasi wazawa wamesema wako hatarini kupotea huku wengine wakidai wameshafilisika kutokana na kukosa kazi wakati wakiendelea kulipa kodi za Serikali ambazo zimewaingiza kwenye madeni makubwa.
Wakizungumza wakati wao Mkutano wao Mkuu wa Tisa uliofanyika jijini Dar es salaam wamedai hali hiyo inatokana na kutoshirikishwa katika miradi mikubwa ya Serikali.
Daah hii kitu inanikumbusha machungu sana ya mkandarasi fulani alikuwa ni sub kwenye mradi fulani maarufu sana, nilimkodishia vyombo kadhaa vya moto basi nilijuta na kurudi nyuma kuingiza vyombo kwenye mradi huo, malipo ni shida na matengenezo yalikuwa makubwa kutokana na eneo la kazi lilivyokuwa.
Ninavyoandika hapa nimepeta athari kubwa sana ya mwenendo wangu kiuchumi na kusababisha baadhi ya vyombo kusimama kazi la kushukuru watendaji wangu nilikuwa nawalipa kila siku ama wiki kutokana na mahitaji yao kwa wakati huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaan tunapumua kwa shidaWakati jiwe ni waziri wa ujjenzi
Ila alivyokua Rais Ndio anafaidi Sana
Tumechoka kutawaliwa na dikteta anaeongea nchi ki Familia
We can't breathe
Kampuni nyingi za ujenzi awanu hii hazina kazi. Mke wangu ni moja kati ya wahanga maana kampuni yao haipati kazi kabisa...Utoaji wa tenda awamu hii umekua mgumu kwa wakandarasi.wazawa kuzipata tenda za serikali.
Serikali itufikirie.
===
WAKANDARASI WALALAMIKIA KUACHWA KWENYE MIRADI: Wakandarasi wazawa wamesema wako hatarini kupotea huku wengine wakidai wameshafilisika kutokana na kukosa kazi wakati wakiendelea kulipa kodi za Serikali ambazo zimewaingiza kwenye madeni makubwa.
Wakizungumza wakati wao Mkutano wao Mkuu wa Tisa uliofanyika jijini Dar es salaam wamedai hali hiyo inatokana na kutoshirikishwa katika miradi mikubwa ya Serikali.
Hii Estim wanaojenga toka kimara njia 8 iko chini ya Manyanga?Lakini mayanga construction pekee ndio wanafanya vizuri ?
Hapo mkuu unajaribu kujificha kwenye kimvuli chako
Eti kwa sababu kuna kampuni fulani iliharibu Kazi Ndio sababu ya kutokutangaza zabuni na ukandarasi wote apewe mayanga construction bila zabuni
No ways mayanga ni mume mwenza wa Pombe
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
Kama sio mayanga ni CHINAHii Estim wanaojenga toka kimara njia 8 iko chini ya Manyanga?