mc gregor
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 1,121
- 2,196
Km ni profit free wanawezaje kutu subcontract sisi wengine na tukapata faida na wao JKT wasipate faida? Hakuna anaweza kufanya biashara kichaa km hio.
Mkuu acha ku assume na ku guess mambo.
Mkuu twende polepole kama ulishawai kuestimate mradi najua utaelewa chap tu, Mfano kwenye pricing ya mradi mda wa kujaza tender mkandarasi akataka kuengange subcontractor kwenye kazi yake,subcontractors estimate huwa ni component moja wapo tu ya final estimate ya kazi nzima, final estimate ya kazi nzima hujumuisha subcontractors estimate, contigency na mwisho profit and over heads ya wewe mkandarasi kuisimamia io kazi hii kitaalamu huitwa general attendance. Final estimate ya kazi nzima hujumuisha vitu vyote hivyo vitatu au zaidi depending na nature ya kazi. Sasa hawa jkt na taasisi za serikali hutoa hio profit hapo na kuweka zero hivyo automatically hio figure yao ya kufanya hio kazi ambayo watakusubcontract wewe huwa chini compared na wenzao.
Na hapo kuhusu wewe kupata faida yako kama subcontractor wanaibeba hivyo figure yako kama ilivyo ambayo wakati wewe unaiandaa unakuwa ushajiwekea kafaida kako huko ndani ila wao wanaua faida yao kwenye io kazi yako wewe hope utakuwa umenielewa.