Huwezi mkwepa hata hio simu Ni ya mabeberuWametumwa na mabeberu yaani haya mabeberu yapo kila sehem
Huwezi mkwepa hata hio simu Ni ya mabeberuWametumwa na mabeberu yaani haya mabeberu yapo kila sehem
Kama JKT tayari wanaajira rasmi hata wasipo jengo ajira Yao ipoKwani zikiwa za Serikali Wafanyakazi wanatokea Sudan? Au Mapato yake yanapelekwa Cabo Delgado? Wacha Kazi iendelee Mkuu
Tarura &rea almost wanatumia wakandarasi wazawaUtoaji wa tenda awamu hii umekua mgumu kwa wakandarasi.wazawa kuzipata tenda za serikali.
Serikali itufikirie.
===
WAKANDARASI WALALAMIKIA KUACHWA KWENYE MIRADI: Wakandarasi wazawa wamesema wako hatarini kupotea huku wengine wakidai wameshafilisika kutokana na kukosa kazi wakati wakiendelea kulipa kodi za Serikali ambazo zimewaingiza kwenye madeni makubwa.
Wakizungumza wakati wao Mkutano wao Mkuu wa Tisa uliofanyika jijini Dar es salaam wamedai hali hiyo inatokana na kutoshirikishwa katika miradi mikubwa ya Serikali.
Akili za tundu wazi hiziKama JKT tayari wanaajira rasmi hata wasipo jengo ajira Yao ipo
Tatizo ni kwa wataanza wengine ambao si wanajeshi wala hawana uhusiano wa kifamilia na Mr Pombe wakafanye Kazi sudani?
Kwa kweli tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
Kuna mmoja alipewa kujenga barabara ya Kahama mjini kwenda mhongolo.. mautumbo aliyoyafanya Mungu anajua.. mitaro mikubwa hiace inapotelea humo, upana wa wabarabara haujazingatia waenda kwa miguu.. barabara imepinda pinda... Na ndio wanajiita wakandarasi wazawa... Wanyimwe mpaka wajue kazi...Tatizo wakipewa kazi wanaboronga wanasingizia uzawa! Tunataka matokeo, unakuta MTU kapewa kazi haiishi au ubora zero!
Kwani mkuu Kampuni zote hazifanyi kazi kipindi hiki!?Ina maana makampuni yote Tanzania hayana uwezo?
Mbona wamesajiliwa na wanalipa kodi zote?
Kwa hio mayanga ya mume mwenza wa Pombe Ndio pekee Wana ubora?
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
Na wengine unakuta mradi umeshaalipwa wote lakini amnakilichofanyikaTatizo wakipewa kazi wanaboronga wanasingizia uzawa! Tunataka matokeo, unakuta MTU kapewa kazi haiishi au ubora zero!
Lakini mayanga construction pekee ndio wanafanya vizuri ?Na wengine unakuta mradi umeshaalipwa wote lakini amnakilichofanyika
Hapa kampuni ulizotaja karibu zote ni za serikali na chache zilizobaki ni za John mwenyewe.Kampuni ya Songoro Marine ni Wazawa, NHC ni ya Kizawa, TBA wazawa, Suma JKT wazawa, Magereza Wazawa, Mayanga ni Wazawa, Nyanza Construction Wazawa, M/S Saimoo ni Wazawa nk nk zooote hizo zinafanyakazi
Kwa nini hawakulalamika kipindi cha JK, wakati waziri wa miundombinu alikua ndio raisi wasasa, natenda nyingi za ujenzi walishirikishwa?. Kwa nini iwe wakati huu ndio walalamike?.yaani upewe kazi wakati uwezo huna?
Wakati ule pombe alikua sio final sayKwa nini hawakulalamika kipindi cha JK, wakati waziri wa miundombinu alikua ndio raisi wasasa, natenda nyingi za ujenzi walishirikishwa?. Kwa nini iwe wakati huu ndio walalamike?.
Tatizo wewe umebeba stori za Vijiwe vya kahawa na Maneno ya Siasa za Majitaka, Wakati JK akiwa Rais kila Jengo zuri na Kituo kizuri cha Mafuta Mlituambia mali ya Riz One.Hapa kampuni ulizotaja karibu zote ni za serikali na chache zilizobaki ni za John mwenyewe.
Ina maana makampuni yote Tanzania hayana uwezo?
Mbona wamesajiliwa na wanalipa kodi zote?
Kwa hio mayanga ya mume mwenza wa Pombe Ndio pekee Wana ubora?
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
Ohooo! Uko nyuma ya wakati ndugu. Kumbe umekomaa na keyboard tu halafu hujui chochote?? Mayanga ni kwmpuni ya John ndugu.Tatizo wewe umebeba stori za Vijiwe vya kahawa na Maneno ya Siasa za Majitaka, Wakati JK akiwa Rais kila Jengo zuri na Kituo kizuri cha Mafuta Mlituambia mali ya Riz One.
Leo JPM yuko madarakani kila kampuni inayoshinda Zabuni ya Ujenzi tunaambiwa ya Mhe.Na.1 huu ni Uzembe wa kufikiri na akili za mtoto wa Chekechea. Acha kulishwa matango pori mtu mzima wewe mpaka unaitwa GT, badilika sasa
John aondoke 28/10/2020Sector ya ujenzi imevulugwa Sana katika utawala huu.
Maana tunategemea sector ya barabara tu Kwa sababu miradi ya majengo na maji inajengwa Kwa force akaunti.
Kampuni ziko nyingi sana. Bado madeni ya ndani serikali hailipi Kwa wakati.
Sector binafsi na mashirika mengi miradi umeisha.
Mkandarasi anatoa ajira Kwa watu
1. Engineer
2. Technician.
3. Driver
4. Operators
5. Labours
Hivyo sector ya ujenzi ikiyumba watu wengi huathirika
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Chagueni CCM Kwanza mengine yatafuataUtoaji wa tenda awamu hii umekua mgumu kwa wakandarasi.wazawa kuzipata tenda za serikali.
Serikali itufikirie.
===
WAKANDARASI WALALAMIKIA KUACHWA KWENYE MIRADI: Wakandarasi wazawa wamesema wako hatarini kupotea huku wengine wakidai wameshafilisika kutokana na kukosa kazi wakati wakiendelea kulipa kodi za Serikali ambazo zimewaingiza kwenye madeni makubwa.
Wakizungumza wakati wao Mkutano wao Mkuu wa Tisa uliofanyika jijini Dar es salaam wamedai hali hiyo inatokana na kutoshirikishwa katika miradi mikubwa ya Serikali.