Weka hoja vizuri.Kama JKT tayari wanaajira rasmi hata wasipo jengo ajira Yao ipo
Tatizo ni kwa wataanza wengine ambao si wanajeshi wala hawana uhusiano wa kifamilia na Mr Pombe wakafanye Kazi sudani?
Kwa kweli tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
Ilitakiwa wakandarasi muwe na jambo lenu tar 28 October sio kulia lia......Utoaji wa tenda awamu hii umekua mgumu kwa wakandarasi.wazawa kuzipata tenda za serikali.
Serikali itufikirie.
===
WAKANDARASI WALALAMIKIA KUACHWA KWENYE MIRADI: Wakandarasi wazawa wamesema wako hatarini kupotea huku wengine wakidai wameshafilisika kutokana na kukosa kazi wakati wakiendelea kulipa kodi za Serikali ambazo zimewaingiza kwenye madeni makubwa.
Wakizungumza wakati wao Mkutano wao Mkuu wa Tisa uliofanyika jijini Dar es salaam wamedai hali hiyo inatokana na kutoshirikishwa katika miradi mikubwa ya Serikali.
Thibitisha. Hear say hazitusaidii.Hapa kampuni ulizotaja karibu zote ni za serikali na chache zilizobaki ni za John mwenyewe.
Kumbuka vizuri. Kampuni za kizawa zilizovurunda zilipigwa chini. Tunataka value for money.Kwa nini hawakulalamika kipindi cha JK, wakati waziri wa miundombinu alikua ndio raisi wasasa, natenda nyingi za ujenzi walishirikishwa?. Kwa nini iwe wakati huu ndio walalamike?.
Utoaji wa tenda awamu hii umekua mgumu kwa wakandarasi.wazawa kuzipata tenda za serikali.
Serikali itufikirie.
===
WAKANDARASI WALALAMIKIA KUACHWA KWENYE MIRADI: Wakandarasi wazawa wamesema wako hatarini kupotea huku wengine wakidai wameshafilisika kutokana na kukosa kazi wakati wakiendelea kulipa kodi za Serikali ambazo zimewaingiza kwenye madeni makubwa.
Wakizungumza wakati wao Mkutano wao Mkuu wa Tisa uliofanyika jijini Dar es salaam wamedai hali hiyo inatokana na kutoshirikishwa katika miradi mikubwa ya Serikali.
We can't breatheWeka hoja vizuri.
We can't breatheTRA nina deni la 80 million, nasuburi maamuzi yao juu yangu, wakandarasi tunachangamoto
Hasa kwenye miradi ya barabara na Maji. Hovyo kabisa.Tatizo wakipewa kazi wanaboronga wanasingizia uzawa! Tunataka matokeo, unakuta MTU kapewa kazi haiishi au ubora zero!
Wakati ule pombe alikua sio final say
Na kama makampun hayana vigezo kwa nini yamesajiliwa na serikali inachukua kidi?
Ina Maana Tanzania nzima makampun ya watu wenye uhusiano na pombe Ndio yanakidhi vigezo?
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
Kwanza huwezi kutumia neno naropoka... Kuwa mstaarabu chief.Mkuu unajuwa standard nzuri za barabara au unaropoka tu.
Hao wachina unaowaona wanajenga barabara standard ziko je?.
Ujenge surface dressing alafu utalajie kupata quality ya hali ya juu.
Ok! Usipowajenga watu wa ndani nani atawajenga ili kufikia viwango vya juu vinavyotakiwa.
Makampuni ya nje yanawezesha mitaji na taasisi za kiserikali za kwao
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Watatekeleza vipi wakati hata malipo hamlipi kwa wakati, mkikataa kulipa makampuni ya mabeberu yanawapeleka mahakamani, yawazawa mnayapiga kalenda.Wakipewa kazi hawatekelezi, matokeo ni poor
Hizi bra bra tu mkuu, wakandarasi wazawa wanaidai serikali billions of money na hawalipwi, yanapelekea makampuni mengi kushindwa kujiendesha, mwisho wasiku yakipata tender yanatafuta cheap labor wanaanza kulipua.Serikali ingekuwa namna inavyojali makampuni ya kigeni yangefanya hivyo jwa wazawa hakuna kampuni ya Kizawa ingeharibu kazi.Kwanza huwezi kutumia neno naropoka... Kuwa mstaarabu chief.
Hizo barabara nazokutajia ..wewe unazijua!?
Haijalishi hata kama barabara ni ya vumbi kuna standards za kawaida kabisa...
Kunyoosha barabara ( kumaintain upana) inazingatia viwango vya barabara!? Whether its surface dressing or not!?
Kujenga mitaro ya wazi steep na mikubwa ya kuingia gari ndogo kunahitaji isiwe surface dressing!?
Barabara imepinda pinda kama nyoka despite the fact property za pembezoni zote zimepimwa unataka tumsifie huyu!?
Tatizo Mainjinia ukuaji mwingi... Na ndio maana miradi yenu mingine badala ya kufanya adjacent properties ziappreciate in value mnazifanya zinakuwa obsolete! Mnadhani ni kujenga tuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hivi JKT ni wakandarasi au cheap labour?Vijana waliopo huko sasa hivi wengi wana Hernia/Haeomorrhoids asilimia kubwa kwa kubebeshwa mifuko ya saruji na zege,wengi hawajiwezi na malipo yao ni kusubiria ajira Jeshini ambapo hakuna guarantee yoyote.Wengi wanajipendekeza kwa maafande hadi wanaumia na baadaye kukosa sifa kwa ubovu wa afya.Rais wa Tanzania ndiye waziri wa Ujenzi at the same time.Wenzenu wamewapa kila kitu jkt
Aisee huyo Nyakiranga'ni construction ni kiboko kuna miradi mingi kazingua nadhani kuna mwingine kigoma huko kama sijakosea.Kampuni ya Songoro Marine ni Wazawa, NHC ni ya Kizawa, TBA wazawa, Suma JKT wazawa, Magereza Wazawa, Mayanga ni Wazawa, Nyanza Construction Wazawa, M/S Saimoo ni Wazawa nk nk zooote hizo zinafanyakazi kwasasa maeneo tofauti Nchini. Tatizo Kampuni nyingi za Wazawa zimejaaa Ukanjanja na Udanganyifu mwingi mnooo.
Mfano kampuni ya Mzawa Nyakirang'anyi Construction huko Bunda Mradi wa Bil 6 amevuta pessa hakuna hata tone la Maji!
Wazawa tumegeuka Waizi sana kwenye miradi ya Serikali, naona kinano kiendeleee tu labda tutapata akili ya Uadilifu.
Kwa hiyo miradi yote inayoborongwa makampuni hayajalipwa fedha!?Hizi bra bra tu mkuu, wakandarasi wazawa wanaidai serikali billions of money na hawalipwi, yanapelekea makampuni mengi kushindwa kujiendesha, mwisho wasiku yakipata tender yanatafuta cheap labor wanaanza kulipua.Serikali ingekuwa namna inavyojali makampuni ya kigeni yangefanya hivyo jwa wazawa hakuna kampuni ya Kizawa ingeharibu kazi.
Mfano sub contractors hapo SGR leo mwaka wa pili makampuni hayajalipwa na serikali inategemea vipi yafanye kazi?.