Wakandarasi Tunafilisika. Serikali iangalie utaratibu mzuri wa tenda

Nenda kaiangalie barabara ya Mombasa-Moshi bar na barabara Mpya ya Kampala Unviversity, Barabara ya Sayansi au ile ya Police Mabatani then vuta picha ya barabara ya Zamani ilikuaje...na barabara za Ovyo za JK zipo nyingiii sana zinazorudiwa upya na mradi wa UDMP...barabara za vimemo.

Sisi watanzania tukipata tender kwanza tuna over price, hatumalizi kwa wakati na hatujengi kwa viwango, na wakiambiwa waungane ili wapewe tender kubwa hawataki(Ubinafsi)...kifupi tunachukulia poa kazi za wanainchi.

A reason why serikali inaipenda JKT ni nidhamu yao ya kudeliver vitu on time, at affordable price and good quality vitu ambavyo huvipati ktk makampuni binafsi ya watanzania labda ya wachina...makampuni ya kitanzania lazika yajifunze kwa JKT tuone km hayatapata tender.

Kifupi hatutaki kucheleweshwa km wakandarasi wa ndani wanatuchelewesha wakae pembeni kazi iendelee.
Utashangaa hata biashara za mjini tu humu... Mtu yuko radhi ampe tenda ya supply muhindi ... Sisi tunaangalia fedha tuu tunasahau kazi.

Mtu akiona bilioni anawaza magari na nyumba za kuishi wakati akimaliza miradi gharama za uendeshaji na makodi tenda ya bilioni faida yake haizidi milioni 100.. Huo uvumilivu wa kufanya kazi akimaliza ale faida yake ndio hakuna.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Yaani asilimia kubwa ya watanzanis wanaenda shule wakitegemea mwajiri wao awe serikali.

Watu wanaofungua kampuni za construction wanatarajia kufanya biashara na serikali.

Mtu anafungua hoteli anategemea wateja wake kutoka serikalini sijui wakodi ukumbi na kufanyia semina zao hotelini kwake.

Hii sasa ni thinking disability, wafilisike tu hasa hao wenye contruction businesses hizo hela wangetumia kufungua vijiviwanda vidogo na kutumia rasimali zilizojaa Tanzania, kuongeza production rate, kutoa ajira na kukuza uchumi wetu.

On the serious note watu walizoeshwa vibaya sana kwenye hii nchi.
 
Nenda kaiangalie barabara ya Mombasa-Moshi bar na barabara Mpya ya Kampala Unviversity, Barabara ya Sayansi au ile ya Police Mabatani then vuta picha ya barabara ya Zamani ilikuaje...na barabara za Ovyo za JK zipo nyingiii sana zinazorudiwa upya na mradi wa UDMP...barabara za vimemo.

Sisi watanzania tukipata tender kwanza tuna over price, hatumalizi kwa wakati na hatujengi kwa viwango, na wakiambiwa waungane ili wapewe tender kubwa hawataki(Ubinafsi)...kifupi tunachukulia poa kazi za wanainchi.

A reason why serikali inaipenda JKT ni nidhamu yao ya kudeliver vitu on time, at affordable price and good quality vitu ambavyo huvipati ktk makampuni binafsi ya watanzania labda ya wachina...makampuni ya kitanzania lazika yajifunze kwa JKT tuone km hayatapata tender.

Kifupi hatutaki kucheleweshwa km wakandarasi wa ndani wanatuchelewesha wakae pembeni kazi iendelee.
Haha
Kwa hio Ndio unahalalisha nchi kuendeshwa na Familia moja?
You sound like owner of mayanga construction
Sio sahihi eti kwa sababu kuna kampuni fulani zilifanya vibaya Ndio zabuni isitolewe lakini kodi iendelee vilevile
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
 
Utashangaa hata biashara za mjini tu humu... Mtu yuko radhi ampe tenda ya supply muhindi ... Sisi tunaangalia fedha tuu tunasahau kazi.

Mtu akiona bilioni anawaza magari na nyumba za kuishi wakati akimaliza miradi gharama za uendeshaji na makodi tenda ya bilioni faida yake haizidi milioni 100.. Huo uvumilivu wa kufanya kazi akimaliza ale faida yake ndio hakuna.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ina maana we ulifungua kampuni ufanye biashara na serikali tu kwenye mipango yako?
 
Utashangaa hata biashara za mjini tu humu... Mtu yuko radhi ampe tenda ya supply muhindi ... Sisi tunaangalia fedha tuu tunasahau kazi.

Mtu akiona bilioni anawaza magari na nyumba za kuishi wakati akimaliza miradi gharama za uendeshaji na makodi tenda ya bilioni faida yake haizidi milioni 100.. Huo uvumilivu wa kufanya kazi akimaliza ale faida yake ndio hakuna.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
True watanzania hatuna nidhamu ya fedha wala kazi...unaweza kuta mtu amekopa bank kufanya mradi fulani ila humo humo anataka ale bata, anunue thamani za ndani, gari or ajenge nyumba then inayobakia ndo afanyie mradi...matokeo yake inabidi abane material na wafanyakazi ku balance kidogo alichobakiza then aanze kudunduliza kumaliizia mradi matokeo yake quality inakua mbovu na mradi unachukua muda mrefu kumalizika.

Ukiweka Mkandarasi mwenye ku deliver maneno kua wakandarasi wazawa hawapewei kazi. Wakipewa wakandarasi wazawa wakafanya madudu still lawama.
Kuna mradi niliwahi kuushuhudia kwenye ziara ya waziri wa maji mkandarasi mzawa kajenga banda la mabati tupu(temporary office) kwa 3m ila kwenye BOM kaandika 100m na keshalipwa yote na maji hayatoki.

Kifupi tunalalamika sana. kila kitu kwetu ni Lawama, hatuna jema.
 
Haha
Kwa hio Ndio unahalalisha nchi kuendeshwa na Familia moja?
You sound like owner of mayanga construction
Sio sahihi eti kwa sababu kuna kampuni fulani zilifanya vibaya Ndio zabuni isitolewe lakini kodi iendelee vilevile
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
Unakosea sana kuuifanya hii threads kua ya kisiasa. Tujadili changamoto ya sekta yetu hii bila kuingiza siasa.

Hunijui wala sikujui kusema kua i sound like the owner of Mayanga ni kunikosea heshima and i deserve an appology.

Tujifunze kushindana kwa hoja sio kukimbilia kwenye dhihaka na matusi. Km huwezi hilo huitaji kujibu post yangu, u can just skip.
 
OH sorry mkuu
Lakini kama makampuni yamesajiliwa na yanatozwa kodi halafu hayapewi Kazi eti kwa sababu wakati fulani kuna makampuni yaliharibu Kazi hii ni dhulma kama dhulma nyingi zonazofanywa na Mr Pombe
Ukisema tusuliweke kisiasa halafu unasema JK alikua vile Na Mr Pombe ni hivi hauoi unazungumza kisiasa?
Bora ya maneno ungesema hapo zamani kuliko kumtaja Jakaya
 
Kama kuna sekta ambayo huu utawala umeamua kuiua ni hii ya ukandarasi. Serikali yenyewe imeamua kuwa mkandarasi na wakati huo huo msimamizi na mlipaji wa miradi yake yenyewe.

Hii hali inasababisha ajira nyingi kutoweka huku serikali hii hii ikidanganya kuwa sijui watanzania milioni ngapi wamepata ajira kwa miaka mitano iliyopita wakati ni uongo mtupu.
 
Kuna mtu inadaiwa kavaa viatu vya Nyerere, sasa watuambie lini Nyerere kaanzisha vikampuni na kufanya manunuzi na miradi yenye harufu ya upigaji. Na tunaambiwa huyo mzee hakuwa hata na mjengo wa maana, kwa nini msiache kujifananisha na huyo mzee mkatembelea nyota zenu wenyewe.
 
Kama kuna sekta ambayo huu utawala umeamua kuiua ni hii ya ukandarasi. Serikali yenyewe imeamua kuwa mkandarasi na wakati huo huo msimamizi na mlipaji wa miradi yake yenyewe.

Hii hali inasababisha ajira nyingi kutoweka huku serikali hii hii ikidanganya kuwa sijui watanzania milioni ngapi wamepata ajira kwa miaka mitano iliyopita wakati ni uongo mtupu.
Kampuni pekee anayofaidika ni mayanga construction ya mke mwenza wa Pombe
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
 
Nenda kaiangalie barabara ya Mombasa-Moshi bar na barabara Mpya ya Kampala Unviversity, Barabara ya Sayansi au ile ya Police Mabatani then vuta picha ya barabara ya Zamani ilikuaje...na barabara za Ovyo za JK zipo nyingiii sana zinazorudiwa upya na mradi wa UDMP...barabara za vimemo.

Sisi watanzania tukipata tender kwanza tuna over price, hatumalizi kwa wakati na hatujengi kwa viwango, na wakiambiwa waungane ili wapewe tender kubwa hawataki(Ubinafsi)...kifupi tunachukulia poa kazi za wanainchi.

A reason why serikali inaipenda JKT ni nidhamu yao ya kudeliver vitu on time, at affordable price and good quality vitu ambavyo huvipati ktk makampuni binafsi ya watanzania labda ya wachina...makampuni ya kitanzania lazika yajifunze kwa JKT tuone km hayatapata tender.

Kifupi hatutaki kucheleweshwa km wakandarasi wa ndani wanatuchelewesha wakae pembeni kazi iendelee.
Kampuni zinaandaliwa, serikali imeshindwa kuandaa angalau makampuni matano na kuviwezesha badala yake wako tayari kutoa kazi kwa sijui JKT wanakoweza kupiga dili za 10%.
 
Mayanja Construction kwanza, Nyie wengine msubili foleni
 
Kama kuna sekta ambayo huu utawala umeamua kuiua ni hii ya ukandarasi. Serikali yenyewe imeamua kuwa mkandarasi na wakati huo huo msimamizi na mlipaji wa miradi yake yenyewe.

Hii hali inasababisha ajira nyingi kutoweka huku serikali hii hii ikidanganya kuwa sijui watanzania milioni ngapi wamepata ajira kwa miaka mitano iliyopita wakati ni uongo mtupu.
Ajira zinatowekaje mkuu!?

Hatuwezi kusupress demand.. kwa vyovyote kama watu wanapata huduma lazima kuna watu wanaajiriwa kutoa hiyo huduma..

Ukandarasi haujauwawa na serikali.. ukandarasi kanjanja ndio ulioathirika. Nakuhakikishia kuna watu wamepewa tenda, na wamelipwa lakini hawana records za nini kimefanyika na fedha imetumikaje.. sasa huyo sio mkandarasi huyo ni muhuni.

Kazi wanazopewa wengi wao wanakwenda kuharibu tu na rushwa nyingi.. hawashindi tenda kwa uwezo wa kutekeleza ila uwezo wa "kickbacks" matokeo yake ni mambo ya hovyo sana.. ukiangalia barabara za Kahama its evident ni mauza uza tu yanayofanyika.. na pesa imelipwa ..

Nasema hivi ujenzi unahitaji usimamizi na nidhamu ya fedha.. hawa wakiona pesa anaweka tamaa zake mbele na sio kazi hawafai hata kidogo.. kama hao ndio wanaolia hatuwezi kuwaonea huruma..

Maana wanachofanya ni.kutuibia kesho yetu.. hatuwezi kuwa tunajenga barabara hiyo hiyo kila siku, bomoa jenga sikumbili bomoa jenga, eti kisa tunataka wazawa waajiriwe.. hapana.

Ukipewa kazi fanya vizuri ili kesho twende tukafanye kwingine.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Utoaji wa tenda awamu hii umekua mgumu kwa wakandarasi.wazawa kuzipata tenda za serikali.

Serikali itufikirie.

===

WAKANDARASI WALALAMIKIA KUACHWA KWENYE MIRADI: Wakandarasi wazawa wamesema wako hatarini kupotea huku wengine wakidai wameshafilisika kutokana na kukosa kazi wakati wakiendelea kulipa kodi za Serikali ambazo zimewaingiza kwenye madeni makubwa.

Wakizungumza wakati wao Mkutano wao Mkuu wa Tisa uliofanyika jijini Dar es salaam wamedai hali hiyo inatokana na kutoshirikishwa katika miradi mikubwa ya Serikali.
TRA nina deni la 80 million, nasuburi maamuzi yao juu yangu, wakandarasi tunachangamoto
 
Duuuh. Yataisha mkinegotiate
TRA ni adui wa wafanya biashara, hawana makubaliano yenye faida kwa mfanya biashara. Nimeisha ongea nao.. tukaingia mkataba wa malipo, ila ni wa kipuuzi sana. Maan IR inapanda nikaona huu upuuzi tu
 
Ajira zinatowekaje mkuu!?

Hatuwezi kusupress demand.. kwa vyovyote kama watu wanapata huduma lazima kuna watu wanaajiriwa kutoa hiyo huduma..

Ukandarasi haujauwawa na serikali.. ukandarasi kanjanja ndio ulioathirika. Nakuhakikishia kuna watu wamepewa tenda, na wamelipwa lakini hawana records za nini kimefanyika na fedha imetumikaje.. sasa huyo sio mkandarasi huyo ni muhuni.

Kazi wanazopewa wengi wao wanakwenda kuharibu tu na rushwa nyingi.. hawashindi tenda kwa uwezo wa kutekeleza ila uwezo wa "kickbacks" matokeo yake ni mambo ya hovyo sana.. ukiangalia barabara za Kahama its evident ni mauza uza tu yanayofanyika.. na pesa imelipwa ..

Nasema hivi ujenzi unahitaji usimamizi na nidhamu ya fedha.. hawa wakiona pesa anaweka tamaa zake mbele na sio kazi hawafai hata kidogo.. kama hao ndio wanaolia hatuwezi kuwaonea huruma..

Maana wanachofanya ni.kutuibia kesho yetu.. hatuwezi kuwa tunajenga barabara hiyo hiyo kila siku, bomoa jenga sikumbili bomoa jenga, eti kisa tunataka wazawa waajiriwe.. hapana.

Ukipewa kazi fanya vizuri ili kesho twende tukafanye kwingine.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu unajuwa standard nzuri za barabara au unaropoka tu.
Hao wachina unaowaona wanajenga barabara standard ziko je?.
Ujenge surface dressing alafu utalajie kupata quality ya hali ya juu.
Ok! Usipowajenga watu wa ndani nani atawajenga ili kufikia viwango vya juu vinavyotakiwa.
Makampuni ya nje yanawezesha mitaji na taasisi za kiserikali za kwao

Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
 
Uzawa ukiwa ndo kigezo cha kupata tenda badala ya uwezo kupitia ushindani then walipa kodi ndo tutaubeba huo mzigo.

Kwenye miradi mikubwa,wazawa bado sana wengi wana record ya ubabaishaji tu.

Yaani barabara ya 260Km umpe MBUTU au NYANZA CONSTRUCTORS!

Kale kakipande ka-Pamba Road wakazi wa Mwanza miaka ya 2000-2005 wanajua kalivyokuwa na mahandaki daily huku mzawa akiwa hapo kila siku.

Ni SONGORO MARINES pekee mzawa aliyeonesha competency na anashika almost tenda zote za ujenzi vivuko nchi hii.
 
Back
Top Bottom