Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,466
- 1,700
Asante sana. Mungu akubariki.Tatizo wakipewa kazi wanaboronga wanasingizia uzawa! Tunataka matokeo, unakuta MTU kapewa kazi haiishi au ubora zero!
Hayo ni majuha na washenzi tu.
Asante sana. Mungu akubariki.Tatizo wakipewa kazi wanaboronga wanasingizia uzawa! Tunataka matokeo, unakuta MTU kapewa kazi haiishi au ubora zero!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani upewe kazi wakati uwezo huna?
You better die!Wakati jiwe ni waziri wa ujjenzi
Ila alivyokua Rais Ndio anafaidi Sana
Tumechoka kutawaliwa na dikteta anaeongea nchi ki Familia
We can't breathe
Kufa! Unagojea nini wakati kazi huiwezi?Ina maana makampuni yote Tanzania hayana uwezo?
Mbona wamesajiliwa na wanalipa kodi zote?
Kwa hio mayanga ya mume mwenza wa Pombe Ndio pekee Wana ubora?
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
Because you can't deliver. ZERO BRAIN.Aisee, hatupumui
Mbona mnapenda kila wakati kuwaingiza walimu. Walimu mbona wamepewa mishahara hata wakati shule zime fubngwa wakati wa Coronavirus?Hahaha bora wao wamesema, walimu kimyaaa!
Huu ndio muda kulalamika wanasikia muda huu, wakiishashinda wanaziba masikio.
Kila mtu atakufa wakati wake ukifikaNyie mmeisha zoea kupiga fedha bora msipumue mfe kabisa.
Kama wewe mpaka sasa hujafa utasimulia kizazi chako.
Mkuu with due respect ku deliver kuna factor nyingi sanaBecause you can't deliver. ZERO BRAIN.
Dhoful hali,meko yuko na mayanga kampuni ndogo ambayo ina vifaa duni kupewa kandarasi kubwa ya chato airportUtoaji wa tenda awamu hii umekua mgumu kwa wakandarasi.wazawa kuzipata tenda za serikali.
Serikali itufikirie.
===
WAKANDARASI WALALAMIKIA KUACHWA KWENYE MIRADI: Wakandarasi wazawa wamesema wako hatarini kupotea huku wengine wakidai wameshafilisika kutokana na kukosa kazi wakati wakiendelea kulipa kodi za Serikali ambazo zimewaingiza kwenye madeni makubwa.
Wakizungumza wakati wao Mkutano wao Mkuu wa Tisa uliofanyika jijini Dar es salaam wamedai hali hiyo inatokana na kutoshirikishwa katika miradi mikubwa ya Serikali.
Utoaji wa tenda awamu hii umekua mgumu kwa wakandarasi.wazawa kuzipata tenda za serikali.
Serikali itufikirie.
===
WAKANDARASI WALALAMIKIA KUACHWA KWENYE MIRADI: Wakandarasi wazawa wamesema wako hatarini kupotea huku wengine wakidai wameshafilisika kutokana na kukosa kazi wakati wakiendelea kulipa kodi za Serikali ambazo zimewaingiza kwenye madeni makubwa.
Wakizungumza wakati wao Mkutano wao Mkuu wa Tisa uliofanyika jijini Dar es salaam wamedai hali hiyo inatokana na kutoshirikishwa katika miradi mikubwa ya Serikali.
Umepoteza muda kuandika vitu havieleweki sizani kama kuna mtu anakuelewa. Vaa ujasiri andika kama mwanaume tukuelewe.
Kuna mmoja alipewa kujenga barabara ya Kahama mjini kwenda mhongolo.. mautumbo aliyoyafanya Mungu anajua.. mitaro mikubwa hiace inapotelea humo, upana wa wabarabara haujazingatia waenda kwa miguu.. barabara imepinda pinda... Na ndio wanajiita wakandarasi wazawa... Wanyimwe mpaka wajue kazi...
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nenda kaiangalie barabara ya Mombasa-Moshi bar na barabara Mpya ya Kampala Unviversity, Barabara ya Sayansi au ile ya Police Mabatani then vuta picha ya barabara ya Zamani ilikuaje...na barabara za Ovyo za JK zipo nyingiii sana zinazorudiwa upya na mradi wa UDMP...barabara za vimemo.
Sisi watanzania tukipata tender kwanza tuna over price, hatumalizi kwa wakati na hatujengi kwa viwango, na wakiambiwa waungane ili wapewe tender kubwa hawataki(Ubinafsi)...kifupi tunachukulia poa kazi za wanainchi.
A reason why serikali inaipenda JKT ni nidhamu yao ya kudeliver vitu on time, at affordable price and good quality vitu ambavyo huvipati ktk makampuni binafsi ya watanzania labda ya wachina...makampuni ya kitanzania lazika yajifunze kwa JKT tuone km hayatapata tender.
Kifupi hatutaki kucheleweshwa km wakandarasi wa ndani wanatuchelewesha wakae pembeni kazi iendelee.
Hakuna uchoraji wa hivyo.. mosiMkandarasi kazi yake ni kujenga serikali yako ndio inachora na kuamua mitaro iwe na upana gani, barabara ziwe na upana gani etc kona zipite wapi na wapi nknk sitetei ujinga nakukumbusha tu miradi mingi ya barabara inachorwa na tanroads na tarura
Kwaiyo wachina ndo wapo vizuri eh.....Ila CCM mna laana kweli Yani hata sehemu ndogo Kama hii unataka ulete maneno yako ya ajabu dah!!!... Lord have mercy.Tatizo wakipewa kazi wanaboronga wanasingizia uzawa! Tunataka matokeo, unakuta MTU kapewa kazi haiishi au ubora zero!
Km ni profit free wanawezaje kutu subcontract sisi wengine na tukapata faida na wao JKT wasipate faida? Hakuna anaweza kufanya biashara kichaa km hio.Serikali inapenda kufanya kazi na jkt kwa sababu rate zao ni profit free hawaweki faida kabisa kwemye miradi yao na automatically tender zao zinakuwa lowest. Hio ndo sababu pekee zingine zote ni porojo tu
TBA nao wameanza hii kitu wanadesign na kujenga miradi profit free thats unfair competion man ndio maana unaona miradi mingi ya serikali wanaushia kupata taasisi za serikali
Hakuna uchoraji wa hivyo.. mosi
Na ile ukipita ukaniambia ilisanifiwa nitakataa katakata.
Uzuri transport planning nina Idea nayo... Yale mautumbo hayana chochote. Na wapi ulisikia serikali huchora Mkuu?
Road designs hufanywa na engineering firms yawezekana isiwe inayojenga ila hufanywa na specialists ambao I can guarantee hawapo kila halmashauri.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wametumwa na Mabeberu hao, Mbona Mayanga halalamiki?🤣🤣Utoaji wa tenda awamu hii umekua mgumu kwa wakandarasi.wazawa kuzipata tenda za serikali.
Serikali itufikirie.
===
WAKANDARASI WALALAMIKIA KUACHWA KWENYE MIRADI: Wakandarasi wazawa wamesema wako hatarini kupotea huku wengine wakidai wameshafilisika kutokana na kukosa kazi wakati wakiendelea kulipa kodi za Serikali ambazo zimewaingiza kwenye madeni makubwa.
Wakizungumza wakati wao Mkutano wao Mkuu wa Tisa uliofanyika jijini Dar es salaam wamedai hali hiyo inatokana na kutoshirikishwa katika miradi mikubwa ya Serikali.
Kama ndio practice... Basi the entire team ya wataalamu wa Kahama wafukuzwe. Ule ni upuuziSerikali haina pesa na wanabana matumizi na ni wajanja sana hupenda kufanya design and supervision ya miradi mingi wenyewe ili kupunguza gharama ya kuengage consultants. Miradi complex na migumu ndo utaona wanahitaji washauri ila tarura, tanroads etcetc wanachora wenyewe na hapo ndipo changamoto huanzia maana wana wataalamu wachache na wengi tia maji tiamaji sababu ya kuwekana na miradi ni mingi hivyo wengi huborobga kazi au huchora kwa mazoea etcetc unaweza angalia mchoro wa eng wa halmashauri mpaka ukashangaa.
Halafu unavyoambiwa serikali inachora usidhanie ni raisi au waziri anakuja kuchora namaanisha taasisi za serikali ndo huchora mfano tarura, tanroads, etcetc
Mkandarasi hawezi jenga tofauti na mchoro na mkataba hiko kitu hakipo na kama kikitokea atafukuzwa site mara moja hicho unachokiongelea practically hakiwezekani