Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,570
Kumbe mayanga construction ya mume mwenza na magufuli ilianzishwa ili itoe huduma ya Bure?Malalamiko ya wanasiasa wa upinzani serikali inafanya uwekezaji mkubwa kwenye miundombinu kushinda kipindi chochote tangia uhuru.
Ina maana sector ya ujenzi ndio wanufaikaji wakubwa, kwakuwa kuna wanaolia lia ina maana supply ni kubwa kushinda demand. Serikali aiwezi mpa kazi kila mwenye kampuni ya ujenzi, wengine jengeni viwanda the industry is saturated for now.
Kibaya zaidi watu wanaenda kopa banks mikopo yenye interest kubwa, sasa utashindana kuomba tender na mchina mwenye mkopo wa low interest au makampuni ya serikali. If anything una justify hoja yangu watu wana anzisha makampuni kwa malengo ya kufanya biashara na serikali tu. Huo utamaduni ndio tatizo sio serikali.
Watanzania tujaribu kuangalia shilling pande zote
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe