Utashangaa hata biashara za mjini tu humu... Mtu yuko radhi ampe tenda ya supply muhindi ... Sisi tunaangalia fedha tuu tunasahau kazi.Nenda kaiangalie barabara ya Mombasa-Moshi bar na barabara Mpya ya Kampala Unviversity, Barabara ya Sayansi au ile ya Police Mabatani then vuta picha ya barabara ya Zamani ilikuaje...na barabara za Ovyo za JK zipo nyingiii sana zinazorudiwa upya na mradi wa UDMP...barabara za vimemo.
Sisi watanzania tukipata tender kwanza tuna over price, hatumalizi kwa wakati na hatujengi kwa viwango, na wakiambiwa waungane ili wapewe tender kubwa hawataki(Ubinafsi)...kifupi tunachukulia poa kazi za wanainchi.
A reason why serikali inaipenda JKT ni nidhamu yao ya kudeliver vitu on time, at affordable price and good quality vitu ambavyo huvipati ktk makampuni binafsi ya watanzania labda ya wachina...makampuni ya kitanzania lazika yajifunze kwa JKT tuone km hayatapata tender.
Kifupi hatutaki kucheleweshwa km wakandarasi wa ndani wanatuchelewesha wakae pembeni kazi iendelee.
HahaNenda kaiangalie barabara ya Mombasa-Moshi bar na barabara Mpya ya Kampala Unviversity, Barabara ya Sayansi au ile ya Police Mabatani then vuta picha ya barabara ya Zamani ilikuaje...na barabara za Ovyo za JK zipo nyingiii sana zinazorudiwa upya na mradi wa UDMP...barabara za vimemo.
Sisi watanzania tukipata tender kwanza tuna over price, hatumalizi kwa wakati na hatujengi kwa viwango, na wakiambiwa waungane ili wapewe tender kubwa hawataki(Ubinafsi)...kifupi tunachukulia poa kazi za wanainchi.
A reason why serikali inaipenda JKT ni nidhamu yao ya kudeliver vitu on time, at affordable price and good quality vitu ambavyo huvipati ktk makampuni binafsi ya watanzania labda ya wachina...makampuni ya kitanzania lazika yajifunze kwa JKT tuone km hayatapata tender.
Kifupi hatutaki kucheleweshwa km wakandarasi wa ndani wanatuchelewesha wakae pembeni kazi iendelee.
Ina maana we ulifungua kampuni ufanye biashara na serikali tu kwenye mipango yako?Utashangaa hata biashara za mjini tu humu... Mtu yuko radhi ampe tenda ya supply muhindi ... Sisi tunaangalia fedha tuu tunasahau kazi.
Mtu akiona bilioni anawaza magari na nyumba za kuishi wakati akimaliza miradi gharama za uendeshaji na makodi tenda ya bilioni faida yake haizidi milioni 100.. Huo uvumilivu wa kufanya kazi akimaliza ale faida yake ndio hakuna.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
True watanzania hatuna nidhamu ya fedha wala kazi...unaweza kuta mtu amekopa bank kufanya mradi fulani ila humo humo anataka ale bata, anunue thamani za ndani, gari or ajenge nyumba then inayobakia ndo afanyie mradi...matokeo yake inabidi abane material na wafanyakazi ku balance kidogo alichobakiza then aanze kudunduliza kumaliizia mradi matokeo yake quality inakua mbovu na mradi unachukua muda mrefu kumalizika.Utashangaa hata biashara za mjini tu humu... Mtu yuko radhi ampe tenda ya supply muhindi ... Sisi tunaangalia fedha tuu tunasahau kazi.
Mtu akiona bilioni anawaza magari na nyumba za kuishi wakati akimaliza miradi gharama za uendeshaji na makodi tenda ya bilioni faida yake haizidi milioni 100.. Huo uvumilivu wa kufanya kazi akimaliza ale faida yake ndio hakuna.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unakosea sana kuuifanya hii threads kua ya kisiasa. Tujadili changamoto ya sekta yetu hii bila kuingiza siasa.Haha
Kwa hio Ndio unahalalisha nchi kuendeshwa na Familia moja?
You sound like owner of mayanga construction
Sio sahihi eti kwa sababu kuna kampuni fulani zilifanya vibaya Ndio zabuni isitolewe lakini kodi iendelee vilevile
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
OH sorry mkuuUnakosea sana kuuifanya hii threads kua ya kisiasa. Tujadili changamoto ya sekta yetu hii bila kuingiza siasa.
Hunijui wala sikujui kusema kua i sound like the owner of Mayanga ni kunikosea heshima and i deserve an appology.
Tujifunze kushindana kwa hoja sio kukimbilia kwenye dhihaka na matusi. Km huwezi hilo huitaji kujibu post yangu, u can just skip.
Kampuni pekee anayofaidika ni mayanga construction ya mke mwenza wa PombeKama kuna sekta ambayo huu utawala umeamua kuiua ni hii ya ukandarasi. Serikali yenyewe imeamua kuwa mkandarasi na wakati huo huo msimamizi na mlipaji wa miradi yake yenyewe.
Hii hali inasababisha ajira nyingi kutoweka huku serikali hii hii ikidanganya kuwa sijui watanzania milioni ngapi wamepata ajira kwa miaka mitano iliyopita wakati ni uongo mtupu.
Kampuni zinaandaliwa, serikali imeshindwa kuandaa angalau makampuni matano na kuviwezesha badala yake wako tayari kutoa kazi kwa sijui JKT wanakoweza kupiga dili za 10%.Nenda kaiangalie barabara ya Mombasa-Moshi bar na barabara Mpya ya Kampala Unviversity, Barabara ya Sayansi au ile ya Police Mabatani then vuta picha ya barabara ya Zamani ilikuaje...na barabara za Ovyo za JK zipo nyingiii sana zinazorudiwa upya na mradi wa UDMP...barabara za vimemo.
Sisi watanzania tukipata tender kwanza tuna over price, hatumalizi kwa wakati na hatujengi kwa viwango, na wakiambiwa waungane ili wapewe tender kubwa hawataki(Ubinafsi)...kifupi tunachukulia poa kazi za wanainchi.
A reason why serikali inaipenda JKT ni nidhamu yao ya kudeliver vitu on time, at affordable price and good quality vitu ambavyo huvipati ktk makampuni binafsi ya watanzania labda ya wachina...makampuni ya kitanzania lazika yajifunze kwa JKT tuone km hayatapata tender.
Kifupi hatutaki kucheleweshwa km wakandarasi wa ndani wanatuchelewesha wakae pembeni kazi iendelee.
Ajira zinatowekaje mkuu!?Kama kuna sekta ambayo huu utawala umeamua kuiua ni hii ya ukandarasi. Serikali yenyewe imeamua kuwa mkandarasi na wakati huo huo msimamizi na mlipaji wa miradi yake yenyewe.
Hii hali inasababisha ajira nyingi kutoweka huku serikali hii hii ikidanganya kuwa sijui watanzania milioni ngapi wamepata ajira kwa miaka mitano iliyopita wakati ni uongo mtupu.
TRA nina deni la 80 million, nasuburi maamuzi yao juu yangu, wakandarasi tunachangamotoUtoaji wa tenda awamu hii umekua mgumu kwa wakandarasi.wazawa kuzipata tenda za serikali.
Serikali itufikirie.
===
WAKANDARASI WALALAMIKIA KUACHWA KWENYE MIRADI: Wakandarasi wazawa wamesema wako hatarini kupotea huku wengine wakidai wameshafilisika kutokana na kukosa kazi wakati wakiendelea kulipa kodi za Serikali ambazo zimewaingiza kwenye madeni makubwa.
Wakizungumza wakati wao Mkutano wao Mkuu wa Tisa uliofanyika jijini Dar es salaam wamedai hali hiyo inatokana na kutoshirikishwa katika miradi mikubwa ya Serikali.
Duuuh. Yataisha mkinegotiateTRA nina deni la 80 million, nasuburi maamuzi yao juu yangu, wakandarasi tunachangamoto
Pole Chief!TRA nina deni la 80 million, nasuburi maamuzi yao juu yangu, wakandarasi tunachangamoto
TRA ni adui wa wafanya biashara, hawana makubaliano yenye faida kwa mfanya biashara. Nimeisha ongea nao.. tukaingia mkataba wa malipo, ila ni wa kipuuzi sana. Maan IR inapanda nikaona huu upuuzi tuDuuuh. Yataisha mkinegotiate
Mkuu unajuwa standard nzuri za barabara au unaropoka tu.Ajira zinatowekaje mkuu!?
Hatuwezi kusupress demand.. kwa vyovyote kama watu wanapata huduma lazima kuna watu wanaajiriwa kutoa hiyo huduma..
Ukandarasi haujauwawa na serikali.. ukandarasi kanjanja ndio ulioathirika. Nakuhakikishia kuna watu wamepewa tenda, na wamelipwa lakini hawana records za nini kimefanyika na fedha imetumikaje.. sasa huyo sio mkandarasi huyo ni muhuni.
Kazi wanazopewa wengi wao wanakwenda kuharibu tu na rushwa nyingi.. hawashindi tenda kwa uwezo wa kutekeleza ila uwezo wa "kickbacks" matokeo yake ni mambo ya hovyo sana.. ukiangalia barabara za Kahama its evident ni mauza uza tu yanayofanyika.. na pesa imelipwa ..
Nasema hivi ujenzi unahitaji usimamizi na nidhamu ya fedha.. hawa wakiona pesa anaweka tamaa zake mbele na sio kazi hawafai hata kidogo.. kama hao ndio wanaolia hatuwezi kuwaonea huruma..
Maana wanachofanya ni.kutuibia kesho yetu.. hatuwezi kuwa tunajenga barabara hiyo hiyo kila siku, bomoa jenga sikumbili bomoa jenga, eti kisa tunataka wazawa waajiriwe.. hapana.
Ukipewa kazi fanya vizuri ili kesho twende tukafanye kwingine.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app