Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Nataman Dunia ingerudi nyuma miaka 6. Ningeweza kubadilisha mwanzo...ndio bàsi tena majuto ni mjukuu ndio nishakua single mothers of two kids from two father's [emoji24]
Binafsi sitokaa nikarudi , sipingi ndoa kwamba ni mbaya hapana ndoa ni nzuri na ni baraka kwa waamini wa Mungu. ila mie nimejikuta sio kitu iliyo kwa ajiri yangu.. Na sijawai pishana na wife wala kuwa mivutano yoyote na familia zote zina amani na zina tufurahia .. ila inanigomea ndio yale unaenda Somea Medical Doctor kumbe ulitakiwa kuwa Engineer.. labda kazi ya u MD ikuchoshe tu 😊😊😊.. Na ni kosa kufanya vitimbi ili muachane, itaacha hukumu kubwa sana moyoni na haitopita karma itahusika tu, unaweza shangaa mambo ya bumaa tu.. Ni bora ukae mbali nae kikazi na kuwe na interval ndefu ya kuonana.. ila kuanzisha vitimbi unakuwa katoto ka shetani tuKwamba ndoa yako haina shida lakini hauitaki tu? Huku kwetu huwezi kueleweka, kwa weupe huko ndio ungeweza kueleweka na hiyo sababu yako ingesimama kama sababu toshelevu. Kwamba hakuna tatizo, sitaki tu ndoa na naona sikuwa designed kwa ajili hiyo, i made a mistake na blah blah zingine.
Kuna wengine wanajisikia hivyo, na wanaona wafanye vitimbi ili wapate sababu ya kuacha au kuachwa. 😅 Africa kugumu sana sijui kama tunaweza kuishi bila unafiki.
Swali kwako, Ukitoka humo una uhakika kuwa hautaitaka tena? Tabia ya mwanadamu ni kuchoka/kukinai na kukihitaji kitu tena baada ya muda.
Dah rafiki angu hata sina cha kukwambia, labda hapa ile point ya ndoa ni uvumilivu ndio inapaswa itumike. 🤣Binafsi sitokaa nikarudi , sipingi ndoa kwamba ni mbaya hapana ndoa ni nzuri na ni baraka kwa waamini wa Mungu. ila mie nimejikuta sio kitu iliyo kwa ajiri yangu.. Na sijawai pishana na wife wala kuwa mivutano yoyote na familia zote zina amani na zina tufurahia .. ila inanigomea ndio yale unaenda Somea Medical Doctor kumbe ulitakiwa kuwa Engineer.. labda kazi ya u MD ikuchoshe tu 😊😊😊.. Na ni kosa kufanya vitimbi ili muachane, itaacha hukumu kubwa sana moyoni na haitopita karma itahusika tu, unaweza shangaa mambo ya bumaa tu.. Ni bora ukae mbali nae kikazi na kuwe na interval ndefu ya kuonana.. ila kuanzisha vitimbi unakuwa katoto ka shetani tu
Haka ka gereza 😅😅😅Dah rafiki angu hata sina cha kukwambia, labda hapa ile point ya ndoa ni uvumilivu ndio inapaswa itumike. 🤣
Siku ziende basi….. either baadae utakuja kusema ningejua ningefanya maamuzi ya kumuacha tangu kipindi hiko, au utakuja kusema bora ambavyo sikumuacha.