Wakati afrika inawaza kupeleka mbele Afcon 2025 naiona Euro inayoongozwa na watu wenye msimamo iking'ra sana

Wakati afrika inawaza kupeleka mbele Afcon 2025 naiona Euro inayoongozwa na watu wenye msimamo iking'ra sana

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Motsepe na genge lake bado hawana uhakika wa kuwa na Afcon msimu wa 2025 kwa sababu inaingiliana na ratiba mpya ya vilabu duniani.

Wakati huo huo msimu huu inaonekana kabisa Euro inaenda kuwa na ushindani mkubwa na mvuto usiomithirika kiasi kwamba watu hata hawaongelei Copa America.

Namshauri Motsepe asiiguse kabisa Afcon 2027 atatujua vijana wa Samia (wakati huo ntakuwa mzee wa Samia)
 
Wachezaji wanao cheza kombe la dunia la vilabu ndio hao hao wanatakiwa kucheza AFCON watajigawa vipi?
 
Wachezaji wanao cheza kombe la dunia la vilabu ndio hao hao wanatakiwa kucheza AFCON watajigawa vipi?
Mataifa ya afrika yamekuwepo kabla ya vilabu vya dunia na haya ni mataifa ilipaswa vilabu ndio viwaze namna gani hawataathiri ratiba za mataifa.

Euro isingebadilishwa na ratiba hii hata UEFA TU haibadilishwi na ratiba hii
 
Back
Top Bottom