Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Kuna kila dalili vilabu vyetu vikubwa vinahonga waamuzi..
Hebu fikiria vizuri, ni timu gani popote duniani ambayo ina takwimu za aina hiyo......yaani timu ina wastani wa kupewa penati kila baada ya mechi mbili.
Hizi penalties ni questionable sana.Mkuu: hizi penati zina walakini?
Nijuavyo mimi; penati hutokea kama wapinzani wataruhusu ucheze eneo lao wanapokuwa wanashambulia.
Kama wataruhu makosa kwenye 18, kuna kusababisha penati au kufungwa.
Mi nadhani hii hoja ingekuwa na maana kama hizo penati zingekuwa na walakini.
Kupata penati sio dhambi
KWani sheria inataka timu ipewe penalty kila baada ya michezo mingapi angalau?Hizi penalties ni questionable sana.
Yaani saa hivi Simba haichezi mechi 3 mfululizo bila penalty.
Yaani suala la Simba kupewa penalty kila baada ya mechi 2-3 sio utabiri tena.
Ni fact...
Kama ingekuwa betting, possibility ya Simba kupewa penalty au kutopewa
Ni 1.70 Yes na 3.80 No