Pre GE2025 Wakati CHADEMA mmejikita twita CCM wapo kimkakati kwa maandalizi ya 2025 msije kusema mmeibiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Upinzani muhimu wajifunze namna ya kuzilinda kura zao zisichakachuliwe tu 🙄😳🙌
 
Hiyo kauli ya wapiga kura hawapo "Twitter " ndio ilimponza Magufuli hujiulizi kwanini aliamua kuufungia huo mtandao?

Hao waliopo X ndio hao wapo mtaani.

Pia nguvu ya huo mtandao ndio imechangisha milioni 28 ndani ya siku 4 kuwatoa watu wawili gerezani na matibabu ya kijana aliyetekwa.

Mwenyekiti wa UVCCM analia X ifungiwe kila siku unafikiri kwanini hata Tiktok au Instagram ifungiwe
?

Jibu ni jepesi mada zilizopo X ni nzito kuamsha mengi ya serikali hivyo kama hawana hofu kwanini watake kuufungia huko unaposema wanashinda vijana wa CHADEMA?
 
Kwa sasa vijana wa Mbowe wako bize na uchaguzi wa TLS utadhani chama cha mawakili ni tawi la CHADEMA.. wapumbavu mno. Nyumbu zinadai hazimtaki mmojawapo wa wagombea urais wa TLS kwa sababu ni kada wa CCM. Inashangaza kuona watu wasio mawakili wakizua tafrani mtandaoni kwa uchaguzi usiowahusu.
 
Vijana wa CCM hawapo twita ndiyo maana wanataka ifungwe? Twita haina impact ndiyo maana kampeni ya kuifunga imepamba moto?
 
Acha uchawa huna lolote!
 
Wewe ni kenge kabisa!
 
CDM wanakusanya kodi? Huo mkakati wa CCM ni upi? wa kuondoa umasikini au wa kupambana na ufisadi?
 
Mikakati ya wizi wa kura au?
 
Kweli bhana!

 
Umeandika pwenti kuntu.
Ni Bora waende vijijini kuweka mipango ya kuwarubuni walalahoi wanaotaka uhakika wa nguo na chakula
 
Nape kathibitisha uwizi wa kura wa ccm na yeye akiwa engineer wa kuiba kura
 
Nafikiri hujaona mikutano ya hadhara cdm bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…