Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
CCM imetuletea mifumo ya kifala sana ya kiutawala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona sasa Maneno yako....Huyo mwananchi atakae wekwa mahabusu kwa kumchapa mkuu wa Wilaya au Mkoa tutamtafutia msaada wa kisheria.
Na nitakuwa na amani moyoni kuliko kunidhalilisha jambo ambalo halitafutika maishani mwangu.Hata kama watakuweka mahabusu lakini utakua umefikisha ujumbe.
Process Zinaendelea... Njoo uwatetee....Kwanini hawakupelekwa mahakamani?
Utu kwa upande gani....? Acha wapigwe Washenzi sana wale....Ni kweli Mkuu unajua sawa wanaweza kuwa wamekosea lakin adhabu iliyotumika si sawa.
Utu ni jambo la kwanza pia itambulike hata hao wanaowahukumu wenzao si kwamba ni wasafi bali mabaya yao hayakajulikana tu.
Washenzi huwa wanajuana tofauti ni kuwa wengine wana madaraka.
Kama kwako ni sawa basi sawa baki na mtazamo wakoUtu kwa upande gani....? Acha wapigwe Washenzi sana wale....
Wewe mtazamo wako ukoje? Mbona unaangalia upande mmoja Mkuu.....!!! Hivi Unajua kwa nini walipigwa Viboko? Au umeamua kupump huu uzi? Kwa kukashifu na kuwavunjia hadhi Watu???!!! Oooooooh Haya.....!!!!Kama kwako ni sawa basi sawa baki na mtazamo wako
Unamaanisha aliechapa ndio ana hadhi waliochapwa hawana hadhi?Wewe mtazamo wako ukoje? Mbona unaangalia upande mmoja Mkuu.....!!! Hivi Unajua kwa nini walipigwa Viboko? Au umeamua kupump huu uzi? Kwa kukashifu na kuwavunjia hadhi Watu???!!! Oooooooh Haya.....!!!!
Jibu swali kwanza waliochapwa viboko wamefanya kosa gani? Mkuu imekuaje tena Mbona hivyo....?Unamaanisha aliechapa ndio ana hadhi waliochapwa hawana hadhi?
Swala la utu halina ngazi za cheo, tuhuma walizonazo zinaweza kuwa za msingi na kukutwa na makosa na sijasema nawaunga mkono kwa tabia hiyo ila hatua iliyochukuliwa na hao manyampala si sawa na siwez kuunga mkono swala kama hili hata nipelekwe kaburini.
Unajua mambo mengine kabla ya kumhukum mtu jiweke wewe kama mhusika natumain utafanya maamuzi ya hekima, ebu niambie watoto wa hao waliochapwa sasa wapo katika hali gani hapo mtaani.
Jitafakari mwenyewe mambo mangapi unakosea je, na wewe uwajibishwe kwa kucharazwa hadharani?
Kwa unavyoelewa kosa ni nini?Jibu swali kwanza waliochapwa viboko wamefanya kosa gani? Mkuu imekuaje tena Mbona hivyo....?
UbarikiweKwa unavyoelewa kosa ni nini?
Amina na iwe hivyoUbarikiwe
Mkuu wewe utakubali uchapwe bakora mbele ya familia yako.Jibu swali kwanza waliochapwa viboko wamefanya kosa gani? Mkuu imekuaje tena Mbona hivyo....?
Hivi ni lini mazuzu yatazuzuka na kujua kuwa yanadanganywa kipindi cha kampeni ? Ona sasa kampeni zimeisha watu wanaonyesha rangi zao za kweli na hisia zao dhidi ya wananchi yaani Watumwaa, viboko hutolewa kwa amri ya mahakama kama moja ya adhabu baada ya mashtaka ya mtuhumiwa kuthibitishwa pasina shaka leo Mahakama imekua kichwani kwa wateule wa Mtukufu....5+Hii tabia ya viongozi kuchapa raia viboko ni udhalikishaji na ukatili unaopaswa kukemewa kwa nguvu zote. Ki tendo cha kumpigia viboko mtu mzima hadharani ni kumshushia thamani na utu wake. Maafa ya kisaikolojia atakaa nayo mtu yule kwa muda mrefu na wengine hatutaelewa wameathirika kiasi gani.
Hivi tukifunga milango na kuwachapa bakora hawa viongozi. Kama wanategemea polisi mpaka polisi wafike tumesha walamba bakora za kutosha. Kutoka hapo tutaheshimiana.
Watoto wa masikini hao mnaowapa elimu bure mna wachapa vya kutosha. Na sasa mmeamua kuwachapa wazazi wao. Shule zinazo jielewa zimesha achana na adhabu za viboko leo mnapiga viboko watu wazima hadharani.
Tukifurahia maafa ya viongozi mnatuona wabaya wakati chuki mnaitengezeza wenyewe.
Hata hivyo hatukuwachagua walikua na kura zao tayari. Haya niHivi ni lini mazuzu yatazuzuka na kujua kuwa yanadanganywa kipindi cha kampeni ? Ona sasa kampeni zimeisha watu wanaonyesha rangi zao za kweli na hisia zao dhidi ya wananchi yaani Watumwaa, viboko hutolewa kwa amri ya mahakama kama moja ya adhabu baada ya mashtaka ya mtuhumiwa kuthibitishwa pasina shaka leo Mahakama imekua kichwani kwa wateule wa Mtukufu....5+
Hili la kuchapwa Watu wazima viboko...halikubaliki kiakili hata Sheria
Viboko kwa Watoto kwa kiasi,ni sehemu ya Mafunzo
ama kwa Watu Wazima
Ni udhalilishaji...linahitaji kukemewa vibaya mno