Wakati dunia inapigana na ukatili kwa watoto ikiwemo viboko mashuleni, Tanzania ukatili wa watu wazima unafanyika hadharani

Ni kweli Mkuu unajua sawa wanaweza kuwa wamekosea lakin adhabu iliyotumika si sawa.
Utu ni jambo la kwanza pia itambulike hata hao wanaowahukumu wenzao si kwamba ni wasafi bali mabaya yao hayakajulikana tu.
Utu kwa upande gani....? Acha wapigwe Washenzi sana wale....
 
Kama kwako ni sawa basi sawa baki na mtazamo wako
Wewe mtazamo wako ukoje? Mbona unaangalia upande mmoja Mkuu.....!!! Hivi Unajua kwa nini walipigwa Viboko? Au umeamua kupump huu uzi? Kwa kukashifu na kuwavunjia hadhi Watu???!!! Oooooooh Haya.....!!!!
 
Unamaanisha aliechapa ndio ana hadhi waliochapwa hawana hadhi?

Swala la utu halina ngazi za cheo, tuhuma walizonazo zinaweza kuwa za msingi na kukutwa na makosa na sijasema nawaunga mkono kwa tabia hiyo ila hatua iliyochukuliwa na hao manyampala si sawa na siwez kuunga mkono swala kama hili hata nipelekwe kaburini.

Unajua mambo mengine kabla ya kumhukum mtu jiweke wewe kama mhusika natumain utafanya maamuzi ya hekima, ebu niambie watoto wa hao waliochapwa sasa wapo katika hali gani hapo mtaani.

Jitafakari mwenyewe mambo mangapi unakosea je, na wewe uwajibishwe kwa kucharazwa hadharani?
 
Jibu swali kwanza waliochapwa viboko wamefanya kosa gani? Mkuu imekuaje tena Mbona hivyo....?
 
Mkuu wewe utakubali uchapwe bakora mbele ya familia yako.
Na utakubali kuona mkeo na watoto wako wakichapwa bakora hadharani tena kuna camera alafu video ilushwe mtandaoni kila mtu aone wewe na familia yako mnavyotandikwa bakora.

Wewe ungekubali kufanyiwa hicho kitu?
 
Hii tabia ya viongozi kuchapa raia viboko ni udhalikishaji na ukatili unaopaswa kukemewa kwa nguvu zote. Ki tendo cha kumpigia viboko mtu mzima hadharani ni kumshushia thamani na utu wake. Maafa ya kisaikolojia atakaa nayo mtu yule kwa muda mrefu na wengine hatutaelewa wameathirika kiasi gani.

Hivi tukifunga milango na kuwachapa bakora hawa viongozi. Kama wanategemea polisi mpaka polisi wafike tumesha walamba bakora za kutosha. Kutoka hapo tutaheshimiana.

Watoto wa masikini hao mnaowapa elimu bure mna wachapa vya kutosha. Na sasa mmeamua kuwachapa wazazi wao. Shule zinazo jielewa zimesha achana na adhabu za viboko leo mnapiga viboko watu wazima hadharani.

Tukifurahia maafa ya viongozi mnatuona wabaya wakati chuki mnaitengezeza wenyewe.
Hivi ni lini mazuzu yatazuzuka na kujua kuwa yanadanganywa kipindi cha kampeni ? Ona sasa kampeni zimeisha watu wanaonyesha rangi zao za kweli na hisia zao dhidi ya wananchi yaani Watumwaa, viboko hutolewa kwa amri ya mahakama kama moja ya adhabu baada ya mashtaka ya mtuhumiwa kuthibitishwa pasina shaka leo Mahakama imekua kichwani kwa wateule wa Mtukufu....5+
 
Hata hivyo hatukuwachagua walikua na kura zao tayari. Haya ni
Matokeo ya uchafuzi wa October 28
 
Viboko kwa mtu yoyote viishe, viboko ilikuwa ni enzi za ujima.
Hili la kuchapwa Watu wazima viboko...halikubaliki kiakili hata Sheria

Viboko kwa Watoto kwa kiasi,ni sehemu ya Mafunzo

ama kwa Watu Wazima
Ni udhalilishaji...linahitaji kukemewa vibaya mno
 
Back
Top Bottom