Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Wanandoa wengi sana hivi sasa wanapoteza haki za kupata unyumba
Naomba kujua mda gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe unyumba
Na mda gani mwanaume anatakiwa kumnyima mkewe tendo la ndoa
Ndoa nyingi hivi sasa zimekuwa na shida sana hasa tendo la ndoa
M n mmoja wa wanakamati wa jamii kanisani kujadili shida za familia
Yaan mwanamke frm no whr anakwambia ati m nikiwa nafunga siwezi mpa mume wangu unyumba usiku
Baba anasema mkewe. Hampi unyumba anamwambia amsaidie kwenye marejesho
Unauliza ulipochukua mkopo mume ulimpa hapana
Iweje ashiriki kulipa marejesho..na marejesho yanahusikaje na tendo la ndoa mke anajibu sina hisia kila nikikaribia marejesho
Wamama..ukiona vya nn wenzio watazipata lini
Kila mwanandoa ajue haki zake