Wakati gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe tendo la ndoa? Tusaidiane wanandoa

Wakati gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe tendo la ndoa? Tusaidiane wanandoa

HAMNA RAHA KAMA AKIWA ANAOGA UKAMNINGINIZIA HUKO AMA AKIPIKA KVAA KHANGA ATAIPENDAA HIKO KITO....O..UNAISHUSHA ZIMA TAA YA JIKONI INAMISHA CHAP
 
Chakula kinakuja kama kimetoeka Sheraton or kempinsky
 
Imekuwa penalty za SIMBA FC AKA BODIYA LIGI FC
YAAN M NIKIITAKA TUNASUKUMANA MPAKA UNASIKIA BASI NAOMBA NKAKOJOE AKICHELEWE NAMWAMBIA NAJISIKIA CHA CHOONI...CHAP NARUDI KWA BED
Ewaaah anajikuta upo juu tyr 😂
 
Na hapa na nyie wanaumeeeeeee

Acheni kunyimaaaa wake zenu hizo ombooo zenu mtalaaniwa kama tunavyolaan KUNYIMANA na nyie msiwanyimeee

Maana Kuna wengine wakirudi nyumban wamelewa kama wamepigwa na...haipendezi

Gawaneni upendooooo..ikichachaa utalia hiooo na kama una tatizo la kusimamisha njoo NIKUPE SEHEMU ikusaidie n ma dk sio wahuni....msikae kimyaa
 
Wanaume wanajitaftia matatizo wenyewe mwanamke wa hivo n kumpa talaka na kumuacha na kutengana nae jumla.. na ikitokea mkiachana na mnaish nyumba moja asije onja hata mia yako hata sku moja … hio ndo dawa yao
 
Wanandoa wengi sana hivi sasa wanapoteza haki za kupata unyumba

Naomba kujua mda gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe unyumba

Na mda gani mwanaume anatakiwa kumnyima mkewe tendo la ndoa

Ndoa nyingi hivi sasa zimekuwa na shida sana hasa tendo la ndoa

M n mmoja wa wanakamati wa jamii kanisani kujadili shida za familia

Yaan mwanamke frm no whr anakwambia ati m nikiwa nafunga siwezi mpa mume wangu unyumba usiku

Baba anasema mkewe. Hampi unyumba anamwambia amsaidie kwenye marejesho

Unauliza ulipochukua mkopo mume ulimpa hapana

Iweje ashiriki kulipa marejesho..na marejesho yanahusikaje na tendo la ndoa mke anajibu sina hisia kila nikikaribia marejesho

Wamama..ukiona vya nn wenzio watazipata lini

Kila mwanandoa ajue haki zake
Mmeo utamnyima tendo la ndoa iwapo tu atakuwa na dosari hizi:
1.umethibitisha ana magonjwa ya zinaa
2.upo kwenye siku zako
3.au wewe mwanamke una magonjwa ya zinaa kwa kuchepuka.
Wakati mwingine wowote,au kwa sababu nyingine zozote usimnyime,ila muongee iwapo hujisikii kumpa
 
Back
Top Bottom