Wakati Greenfield ikiwa (RIP) kwa wenzetu. Congo wameanza pia ujenzi wa Terminal mpya

zipo direct flight nyingi sana bro kama uko tayari kuelewwa niko tayari kukuoneshaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
sawa nakubaliana mna direct flight bas...direct flight za kwenda mwanza airport toka darisalamπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
sawa nakubaliana mna direct flight bas...direct flight za kwenda mwanza airport toka darisalamπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
usiumie hvo sasa yani unaumia kias kwamba mpaka machozi unatoaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
na kq je???? 5 good yearsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mpaka mumeanza kurudisha ndege kwa wenyewe
wahenga wanasema heri mkate nusu kuliko kukosa mkate kabisa...nyie airline imekuwa kaburini miaka 20...ndio mnafufua 2018πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
usiumie hvo sasa yani unaumia kias kwamba mpaka machozi unatoaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hahahahaha maybe wewe tu...hapa mbona tuna direct flight kwenda city zote za europe?? kisha tunaanza USA...nyie mna direct flight ipiπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
hahahahaha maybe wewe tu...hapa mbona tuna direct flight kwenda city zote za europe?? kisha tunaanza USA...nyie mna direct flight ipiπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
sijui kama unaufahamu wa direct flight juzi qantas imeleta watalii direct flight to KIA 310 touristsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ndege 747 imelipia 3 days parking fee hehehe
 
Hoyee! Viwanja vya Isiolo, Kisumu na Eldoret vyote vina-underperform. Wameingiwa baridi. Mwanza airport not international inahudumia wateja wengi zaidi ya Eldoret na Kisumu combined.
Hawa ndugu zetu muda sio mrefu wataanza kutuletea tatizo la uhamiaji haramu. Kwani hali yao mbaya sana, yaani viongozi wanapiga pesa vibaya sana kwenye Miradi hewa.
 
View attachment 764322
ukitazama Richard hapa ndio utaelewa kuwa hub barani africa zipo tatu tu...nairobi, addis ababa na johannesburg
Usiwe mshamba hub airport nikitovu chakugawa abiria kwenda maeneo mengine. Ndege zinakuja kuchukua nakuacha abiria kuendelea na safari. To achieve that kwanza lazima uwe na ndege zako mwenyewe. Same thing Rwanda na Tanzania tumefanya. Usichukue screenshot zakipindi Richard anaeleza jinsi Terminal yenu ilivyounguwa nakutaka kuspin mada. We are smart and watching.
 
What's the connection between Congo's new terminal and Greenfield!?
Is it just a matter of pulling in anything Kenyan for thread relevance or utter intoxication with Kenya?
 
wanafufua airline 2018πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€laziness is bad
 
ama kweli huna akili timamu wewe...unalinganisha hivyo vibanda vyenu vya mabati na nini???πŸ˜€πŸ˜€
Kibanda lakini kinalipa kuliko Kisumu international airport hata Arusha airstrip inaizidi Kisumu
 
we endelea kulia lia tu lakini nshakwambia airport hub ni moja tu ukanda huu
 
Kibanda lakini kinalipa kuliko Kisumu international airport hata Arusha airstrip inaizidi Kisumu
hahahahaha alaf mbona hizo pesa hmjatumia kujenga airport au mnafurahia vibanda vya mabati?
 
sijui kama unaufahamu wa direct flight juzi qantas imeleta watalii direct flight to KIA 310 touristsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ndege 747 imelipia 3 days parking fee hehehe
hahahaha 310 tourists?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ebu kuwa serious angalau...hapa tunazungumzia largescale aiports zinazo handle mamilioni ya watu we unaniambia ndege mbili zilizobeba watu 300
 
Mta, itaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hahahaha sasa terminal ndio inaleta passengers au ni airline ilio na direct flights? mbona hutumii akili?
Kumbe wewe mshamba. Airlines hupenda kwenda kwenye viwanja vyenye facilities za kisasa. They dont want to waste time once they are at the airport. Pia passengers hupenda viwanja vyenye kuvutia(terminals)
 
hahahaha 310 tourists?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ebu kuwa serious angalau...hapa tunazungumzia largescale aiports zinazo handle mamilioni ya watu we unaniambia ndege mbili zilizobeba watu 300
Uyo ni mtoto uwezi jadili na yeye hoja ni wakurumiwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kumbe wewe mshamba. Airlines hupenda kwenda kwenye viwanja vyenye facilities za kisasa. They dont want to waste time once they are at the airport. Pia passengers hupenda viwanja vyenye kuvutia(terminals)
nimegundua wewe ni mjinga sana...hakuna kitu kama kuvutia kwa airport...kinacho determine ni watu wangapi watatumia airport flani ni direct flights....kama huna direct flights haijalishi kama airport imejengwa na dhahabu au tanzanite, hakuna atakayeitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…